Unajua viwandan wanalipa kiasi gani kwasiku nzima???
Nimekwambia kua nimecheza ticket za 12000 kalibia 7??? Unajua faida ya 5000x7 nikiasi gan kwasiku???
Ww ndio kichwa boksi joanah mm namahesabu yamaranyingi kwasiku,wakati ww ukinipigia hesabu yamara1 kwasiku..

Betting yako nzuri
Option uliyoweka uwezekano wa kupata ni 99%
 
odds 10
IMG_20211013_081534.jpg
 
Wee acha tu kasepa na kijiji,ila namshukiru Mungu nilipata ya supu sh 37,000 kwa stake ya buku
Leo England ameondoka na kijiji, hakika betting haijawai kuwa rahisi.

Shukrani kwa walio share mikeka yao humu. Twende mdogo mdogo mpaka kieleweke.
 
52ACA07 Betpawa...hili behewa nimezingatia usalama kadri nilivyoweza, Mimi mhindi ameshanikausha damu, ntatupia tu mabehewa ninayofikir ni salama, likitick hata moja naamini waungwana mtaniinua tena. Muingereza ndio alipigilia msumari wa mwisho Jana
Nikipata. Lazima nije nikupe mtaji kwa sababu kuna behewa moja linapuwa hadi sasa. Linaenda vizuri tu

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom