Akilibandia
JF-Expert Member
- Aug 1, 2015
- 469
- 615
Ngumu sana.
537A981
537A981
pole mkuu.Nimebadili mfumo kwasasa naenda namfumo huu nakwambia pikipiki kama sio gari yakutembelea atainunua huyu bwana.View attachment 1973003
Hii kauli niliiongea 10 years ago, siku ile ya mabomu ya gongo la mboto...Nimebadili mfumo kwasasa naenda namfumo huu nakwambia pikipiki kama sio gari yakutembelea atainunua huyu bwana.View attachment 1973003
Kaka mkubwa pia huna shughuli ndogo..unayumba kidogo sana!Kwa waliofuata huu mkeka ni BOOM..🔥🔥🔥
View attachment 1973474
Sijui ilikuwaje sikupita nao huuWajumbe Mkeka umetiki,kama ulinifuata jipige kifua tu,ila Like au Post mkeka hapo Chini ili niwafahamu wangapi waliungana nami,ili munipe nguvu kesho niposti tena.
ASANTENI.View attachment 1973642
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo mbayaNambie umepigaje mjumbe,maana kikubwa Stake tu.View attachment 1973649
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss pachika mwingine tupite nao leo hatutaweka dharau tena
yani jana nimetembea na mikeka 12 sijui huu nimeuacha vipi, dah!Wajumbe Mkeka umetiki,kama ulinifuata jipige kifua tu,ila Like au Post mkeka hapo Chini ili niwafahamu wangapi waliungana nami,ili munipe nguvu kesho niposti tena.
ASANTENI.View attachment 1973642
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani yako inatosha mkuu,View attachment 1973659View attachment 1973660Wakuu tangu nimeanza kukopi code humu (kubeti kwa ujumla) , leo ndo nimeshinda japo niliweka dau dogo, naomba aliyeweka code hizi zilizonipa usindi Chimbekeha uendelee na moyo huo huo, nakuahidi kurudisha shukrani yangu siku sio nyingi kama mambo yakikaa vizuri.
Shukrani sana
Sema watu wengi wanapenda matreni nadhani ukiwa na hela odds kuanzia 5 hadi 10 za uhakika sio za kuachayani jana nimetembea na mikeka 12 sijui huu nimeuacha vipi, dah!
Hongera. SanaNambie umepigaje mjumbe,maana kikubwa Stake tu.View attachment 1973649
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio dharau mkuu, nilipita na kila mkeka uliotumwa niliweka mikeka 15 kutoka hapa ila hakijaharibika kitu kazi iendelee
Sema watu wengi wanapenda matreni nadhani ukiwa na hela odds kuanzia 5 hadi 10 za uhakika sio za kuacha
Unakuza mtaji taratibuView attachment 1973662
mimi siachi kitu hii ya juzi nilipata 3600
Od tano hizo hapoUnakuza mtaji taratibu
Hii code yake vipi mkuu.?Od tano hizo hapoView attachment 1973668