Na kama ukiweka under 1.75 yakipatikana magoli mawili, nusu ya stake yako inakuwa LOST na nusu inarudishwa kwenye akaunti yako.
Kwa hiyo kama uliweka TZS 10,000 kwa under 1.75 ili uwin lazima lipatikane goal 1 au 0. yakipatikana mawili wanakufyeka 5000 wanakuachia 5000 ujipange upya au unywe supu asubuhi.
 
wadau habarini za asubuhi poleni kwa vichapo toka dortmund na besiktas wameshindwa kutoa gg wala 2+ ni mbaya sn
ila nimeona jana game ya juventus vs spezia kwenye kampuni ya play master ilikuwa na odds kubwa sn juve alipewa 1.47 na kampuni zingine odds zilikuwa ndo haizidi 1.25 ,kwa nn kampuni zingine odds zilikuwa ndogo hadi nimeshangaa
 
Over 1.5 ili uwin lazima zipatikane goal 2 na zaidi yaani 2:0, 1:1, 0:2 nk. Zikipatikana goal chini ya mbili yaani 0:0, 1:0, 0:1 ni BIG LOST
Over 1.75 ili uwin lazima zipatikane goal 3 na zaidi mfano 3:0, 2:1, 4:2, 0:3 nk.
zikipatikana goal 2 inakuwa HALF WIN HALF REFUND yaani mfano;
uliweka TZS 10,000 kwa over 1.75 yenye odds 1.50;
Yakipatikana magoal ma3 itakuwa full win utapata 15,000
Yakipatikana magoli mawili, itachukuliwa stake yako ambayo ni TZS 10,000 itagawanywa kwa 2, tunapata TZS 5000 (5000 iliyobaki haifanyiwi kazi, inakuwa refunded) kisha tunazidisha kwa odds 1.50 tunapata 7500.
Kwa hiyo 7500 + 5000(refunded) unakuwa na 12,500 kwenye akaunti.
Kwa ufupi kabisa zikipatikana goal 2 kwa over 1.75 unapata nusu faida.
Duuuuuu.....Asante kwa somo zuri.
 
rich1
mkuu betting hainaga uhakika,
wakati wewe una wasiwasi wa mechi fulltime over 1.5,miye mwenziyo namungo nimempa goli mbili over 1.5,
kwahyo,ni kusubiri na kuona tu!
 
Over 1.5 ili uwin lazima zipatikane goal 2 na zaidi yaani 2:0, 1:1, 0:2 nk. Zikipatikana goal chini ya mbili yaani 0:0, 1:0, 0:1 ni BIG LOST
Over 1.75 ili uwin lazima zipatikane goal 3 na zaidi mfano 3:0, 2:1, 4:2, 0:3 nk.
zikipatikana goal 2 inakuwa HALF WIN HALF REFUND yaani mfano;
uliweka TZS 10,000 kwa over 1.75 yenye odds 1.50;
Yakipatikana magoal ma3 itakuwa full win utapata 15,000
Yakipatikana magoli mawili, itachukuliwa stake yako ambayo ni TZS 10,000 itagawanywa kwa 2, tunapata TZS 5000 (5000 iliyobaki haifanyiwi kazi, inakuwa refunded) kisha tunazidisha kwa odds 1.50 tunapata 7500.
Kwa hiyo 7500 + 5000(refunded) unakuwa na 12,500 kwenye akaunti.
Kwa ufupi kabisa zikipatikana goal 2 kwa over 1.75 unapata nusu faida.
hiyo system inakua applied for SINGLE BET au MULTIBET??kwa mfano nmeweka timu 10..9 nimezipa direct win na zimetoa...Moja nkampa over 1.75 ambayo ina odd ya 2.00 akashinda 2-0...na nliweka 20000..ikatoka 500000..vpi hpo inakuwaje?msaada pls
 
IMG_0259.jpg

Mzigo huo odds za moto
 
hiyo system inakua applied for SINGLE BET au MULTIBET??kwa mfano nmeweka timu 10..9 nimezipa direct win na zimetoa...Moja nkampa over 1.75 ambayo ina odd ya 2.00 akashinda 2-0...na nliweka 20000..ikatoka 500000..vpi hpo inakuwaje?msaada pls
Dah mkuu nitakujibu vizuri badae, nimeandika majibu marefu wakati nasend yamefutika yote. Ila kwa ufupi kwa swali lako hapo, badala ya laki 5 utapata 375,000.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom