Bado ujajinoa kwenye izi mambo Mkuu asikudanganye mtu amnaga fixed match za kununua kwa mtu utapigwa pesa mpaka akili ikukae sawa kwasasa aisee bet imekua Ngum sanaaa mpaka unaweza kujiiliza unagundu au?? Amna njia inayofanya kazi kwa % zote lakini njia bora labda ya kuweka odds chache 2-3 na stake ya maana kama apo bado ni shida niko kwenye channel Telegram unaweza kuisearch pale kwenye seaech engine inaitwa "Alphabet 2+ sure odds" sijui ni wabongo au wakenya ila wanatoa odds mbili tu mambo ya Fixed match sahau iyo ndio njia yenye angalau View attachment 1715713
Uteja wa kubet ni mbaya sana sijui kuna pastor au shekhe wa kukemea hili pepo

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Jaman naomben kufaham nini maana ya maneno hapo chin katik betting, labda naweza okoa fedha kwakuzifaham applicabilities zake.
Screenshot_20210302-190128.jpg
 
Bado ujajinoa kwenye izi mambo Mkuu asikudanganye mtu amnaga fixed match za kununua kwa mtu utapigwa pesa mpaka akili ikukae sawa kwasasa aisee bet imekua Ngum sanaaa mpaka unaweza kujiiliza unagundu au?? Amna njia inayofanya kazi kwa % zote lakini njia bora labda ya kuweka odds chache 2-3 na stake ya maana kama apo bado ni shida niko kwenye channel Telegram unaweza kuisearch pale kwenye seaech engine inaitwa "Alphabet 2+ sure odds" sijui ni wabongo au wakenya ila wanatoa odds mbili tu mambo ya Fixed match sahau iyo ndio njia yenye angalau View attachment 1715713mdau hii group mwisho kuposti ilikuwa tarehe 27 feb ,sasa kuanzia hiyo tarehe kuja hadi tarehe ya leo ,wanaleta mishe za kutaka kununua
 
Tupeni mwongozo
1.mwadui vs namungo
2.ruvu shooting vs dodoma
3.ihefu vs gwambina
4.kagera sugar vs azam.
 
Naomba kujua tofauti ya ya over 1.50 and 0ver 1.75????
Over 1.5 ili uwin lazima zipatikane goal 2 na zaidi yaani 2:0, 1:1, 0:2 nk. Zikipatikana goal chini ya mbili yaani 0:0, 1:0, 0:1 ni BIG LOST
Over 1.75 ili uwin lazima zipatikane goal 3 na zaidi mfano 3:0, 2:1, 4:2, 0:3 nk.
zikipatikana goal 2 inakuwa HALF WIN HALF REFUND yaani mfano;
uliweka TZS 10,000 kwa over 1.75 yenye odds 1.50;
Yakipatikana magoal ma3 itakuwa full win utapata 15,000
Yakipatikana magoli mawili, itachukuliwa stake yako ambayo ni TZS 10,000 itagawanywa kwa 2, tunapata TZS 5000 (5000 iliyobaki haifanyiwi kazi, inakuwa refunded) kisha tunazidisha kwa odds 1.50 tunapata 7500.
Kwa hiyo 7500 + 5000(refunded) unakuwa na 12,500 kwenye akaunti.
Kwa ufupi kabisa zikipatikana goal 2 kwa over 1.75 unapata nusu faida.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom