Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,233
- 3,850
Mimi mwenyewe achana nae fala tu huyoWiki hii imekaa vibaya sana ngoja nivute pumzi uefa, RB Leipzig kaninyima hela mikeka miwili hela ndefu behewa lake tu limeanguka bora nipoze na nyagi Tu.
Mimi mwenyewe achana nae fala tu huyoWiki hii imekaa vibaya sana ngoja nivute pumzi uefa, RB Leipzig kaninyima hela mikeka miwili hela ndefu behewa lake tu limeanguka bora nipoze na nyagi Tu.
Alikua home/away? Alikua na odd ngapi mbn kila mtu chozi linaenda kwakeMimi mwenyewe achana nae fala tu huyo
Mzee umeweka mzigo ua umeogopa??Mimi pia nataka niweke M hapo ila kuna kitu kinaniambia tunza pesa yako
Vipi mgao unaanza saa ngapi? Mimi nimeshapanga foleni
Harufu ya pesa View attachment 1218362
Mzee baba saiv 1xbet unatumia njia gani??Wa kwanza bado mmoja umeshikiliwa na ajax +gentView attachment 1218316
Mzee umeweka mzigo ua umeogopa??
Alikuwa homo na odd zake ni 1.57Alikua home/away? Alikua na odd ngapi mbn kila mtu chozi linaenda kwake
Wale ni wezi wenye leseniWakuu, hawa Premierbet mbona siwaelewi? Tangu ijumaa nilideposit 50K nikabet kwenye live nikashinda 120K. Nilivyotaka kuwithdraw wakaniambia Registration haijakamilika nitume vitambulisho na email yangu kwenye namba yao ya whatsapp. Mpaka leo nikitaka kuingia kwenye account naambiwa “player is blocked for login”, na nikiwapigia simu wananiambia nisubiri. Kuna aliyewahi kuexperience ujinga huu wa premierbet? Wana jamvi nipeni akili maana ningekua Dar ningewaibukia ofisi zao
Aisee mbona n wazinguaji namna hioWakuu, hawa Premierbet mbona siwaelewi? Tangu ijumaa nilideposit 50K nikabet kwenye live nikashinda 120K. Nilivyotaka kuwithdraw wakaniambia Registration haijakamilika nitume vitambulisho na email yangu kwenye namba yao ya whatsapp. Mpaka leo nikitaka kuingia kwenye account naambiwa “player is blocked for login”, na nikiwapigia simu wananiambia nisubiri. Kuna aliyewahi kuexperience ujinga huu wa premierbet? Wana jamvi nipeni akili maana ningekua Dar ningewaibukia ofisi zao
Wakuu, leo najilipua kama ifuatavyo, whatever the case:
View attachment 1217957
SikomiiiiiWakuu, leo najilipua kama ifuatavyo, whatever the case:
View attachment 1217957