Unaweka tips zipi mkuu
Tatizo watu wanakimbilia kutafuta odds wanazoona ni nyepesi bila kufanya upembuzi yakinifu... Pitia historia ya timu zote znazocheza tafuta habari kujua zipo msimamo gani.. Kisha rudi kwa bookmaker angalia unaweza kubetia option gani kutokana na upembuzi wako.. Ukifanya hivo utakula mara nyingi na utakosa marachache... Tumia muda kufanya upembuzi.. Option za kubetia zipo tuuu... Ni wewe kujikaanga tu na mafta yako.
 
Junior servan(armenia) win
Stroemsgodset 2 win(Norway)
Newroz (Serbia)
win
Dundalk win
Alashkert fc II (Armenia) win
Arema (Indonesia) win
Derry city win
Uruguayu20
Yule anayesema wanaokula wanakuje jisavie kesho leta mrejesho
 
Wakuu kuna huyu jamaa anajiita Rostema naye ni tapeli sana , kuweni makini naye
Anadanganya watu kuwa anauza odds kumbe yuko na app fulani kaiokota huko play store , anachofanya nikwamba mwenye app akipost games naye anatuma kwa group na kuwaambia watu walipie . na sio sure odds , watu wanapasuka vibaya mno ,
Halafu analalamika kuwa mbona tunanunua odds kwa Pdidy inakuaje yeye akitaka kutuuzia tunakataa,

Mpuuzeni kabisa maana ni tapeli kama matapeli wengine ,

Hawa wakenya sijui wanafeli wapi alooo,
Wanaonaga watu wote ni idiot
 
kununua odd ni upungufu wa akili na uvivu uliopitiliza,

yani unapigwa mara mbili mbili..

kama unashindwa katafuta mechi 3-5 kwa siku mwenyewe si bora hiyo pesa ununue vocha..

msilalamike bila sababu kwa usababu unajua hakuna sure bet wangekuwa nazo si tayar wangekuwa mabilionea...
 
Kazi hiyo
Screenshot_20190527-171850.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom