Baba Masagu
Senior Member
- Aug 30, 2020
- 128
- 41
Amalizie mitano yake tupumzike
Apate mitano tena tuendelee kuburudika
Amalizie mitano yake tupumzike
AsanteNimesoma page yako mpaka mwisho nimeshangaa haswa. Kuna watu wanachapwa bakora? Uongo umepitiliza.
CCM ndio Mkombozi wa kweli washauri wazuri wamejaa CCM , viongozi kibao.
Tunaendelea kuipa imani CCM. Hamtudanganyi kabisa.
Asante
Well said!Ungemuomba atumie nguvu yake kusimamia haki
Mbagala wameporwa mbunge wao..
Kuna uchaguzi wa mameya wa majiji...asimamie haki walioshinda ndo wapewe
yasije rudia ya manispaa ya Arusha mjini kuhusu uchaguzi wa meya hasa hapa Dar
Well said!
Utitili wa Flyover uliotajwa na mheshiwa pale kwa mkapa....hivi 2025 dar itaonekanaje...Hebu uchaguzi uishe Rais Aapishe ili ulaya ihamie dar
Inafika sio muda . Watu waje washamgae Tanzania.
Magu wetu oyeee
Uko sahihi kabisaNimesoma page yako mpaka mwisho nimeshangaa haswa. Kuna watu wanachapwa bakora? Uongo umepitiliza.
CCM ndio Mkombozi wa kweli washauri wazuri wamejaa CCM , viongozi kibao.
Tunaendelea kuipa imani CCM. Hamtudanganyi kabisa.
Mimi ushauri wangu mheshimiwa Rais nchi yetu sasa hivi upo mgawanyiko mkubwa Sana. Ameanza na kuunda kamati za amani ili amani iwepo.Hii thread iwe Maalum kwa Maoni, Ushauri na Mapendekezo mbalimbali kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli..
Uko sahihi kabisa
Mkuu wacha mbwembwe, huu uzi unaweza kuwa wa msaada mkubwa kwa Watanzania.Naishauri serikali isome zaburi ya 35