kolola

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
1,693
2,000
Kuna tabia nchi hii imeibuka ya watu kupenda kuficha mambo ambayo inawezekana yakasemwa ili watanzania wakasaidika. Katika hili suala la corona nadhani Rais Kikwete angepambana nalo maana najua asingeweza kuficha mambo sensitive kwa wananchi hawa wakitanzania tunaochukulia poa mambo

Rais na Magufuli huoni kuwa madreva huko mipakani wanaonekana wamejaa corona tupu hawahawa wa kitanzania? Yaan wamejaa corona tupu na hili linaonesha kuwa huenda ni kweli tukawa hata kwa Africa nzima tuna ongoza kwa corona. Jishushe achana na washauri wanaokuvimbisha kichwa kuwa mapapai yamekutwa na corona.
Kama leo umeangalia taarifa ya habari ya al jaazera utakubaliana nami kuwa lockdown haikusaidia. Angalia ujerumani maambukizi yameanza tena baada ya kufungua. Nakueleza Magufuli atakuwa hero maana hakuna jinsi hadi dawa ipatikane. Ukitaka kufanikiwa katika hili ni kuwafungia watu wako hadi dawa ipatikane kitu ambacho hakiwezekani
 
mbenge

JF-Expert Member
May 15, 2019
1,822
2,000
Mkuu, viongozi wenye misimamo yenye mfungamano inayoambatana na itikadi za kijamaa ni shiiida. Nakubaliana na janga hili kama lingalitokea wakati wa awamu ya JK ama Mkapa hakika tusingalitofautiana na mataifa mengine ktk mikakati ya kisayansi ktk kukabiliana nalo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mromboo

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,448
2,000
Viongozi wetu Wana uhuni wa kishamba na kilimbukeni.
Wamejificha wkt wa mapambano..
Sasa viongozi wenzako wanakutafuta muongee kiume unawakimbia kweli kuna kiongozi hapo????
Sina shida sana mimi. Ila nawazaga namna kina Kabudi waliavyoamua kujinajisi na kuanza kuabudu mizimu na Phd zao. Yaani anatumwa kufuata mitishamba Madagasca na mbaya zaidi anaionja halafu anasema imeletwa kufanyiwa utafiti. Hivi utafiti unafanyika ndani ya tumbo lake? kwa kauli ya mheshimiwa rais "Pumbavu zake na uprofesoria wake"
 
Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,374

So sad professor majalala
 
Alphonce Kagezi

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
304
250
Ushauri kwa Mheshimiwa Mwenyekiti CCM Taifa pia akiwa Ndie Raid wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015-2020 na 2020-2025 inayofuata

Kuusema ukweli asieziona juhudi zako na Uzalendo wako Akajinyongee makamasi .
Niombe kusema kero yangu moja nitamalizia maoni.

1-Chama Cha Mapinduzi ndicho kinachounda Selikali za Mitaa hadi Selikali kuu je huyu Mwenyekiti wa Selikali ya mtaa wa Igombe B alipata wapi ujasiri wa kuwaambia Viongozi wake wa Tawi CCM wavue sare za,CCM waziweke chini?

Alipata wapi udume wakusema ni marufuku kuvaliwa safe za CCM kwenye vikao vyake anavyoitisha?

-Vitendo na kauli hizi ni uhaini dhidi ya Chama Cha Mapinduzi nisawa na kutangaza mapinduzi ama uasi .

Hatua zilizo chukuliwa.

1-Secretariet ya Tawi niliielekeza ifanye kikao na wahusika iwahoji .

2-Bada ya kuwahoji iandae taarifa ya kikao na iwasilishwe kwenye kikao cha Kamati ya Siasa cha Tawi ambacho Mimi ndie Mwenyekiti na taarifa yao ikiwa watakutwa na hatia Secretariat ije na mapendekezo ya hatua gani zichukuliwe .

3-Secretariat ilifanya yote kwa umahili mkubwa naipongeza.

4-Kwa kuwa walikutwa na hatia kwa kukiri Mwenyekiti wa selikali ya mtaa akikiri alisema alifanya hivyo kutokana na ushauri aliopewa na kiongozi wa chadema kwa uchambuzi zaidi hili linamaanisha yuko tayali kufanya uhaini dhidi ya,CCM kwa maslahi ya chadema kibaya zaidi mtu huyu alikuwa Mwenyekiti wa Tawi CCM kwa miaka isiopungua 5 kabla ya kujihudhuru na kugombea umwenyekiti selikali ya mtaa.

5-Maamuzi ya Kamati ya siasa yasipo pinduliwa na marafiki zake walioko Kamati ya siasa kata
adhabu aliopewa nifunzo kwake na wengine wenye nia ya kufanya makosa yanayo weza kutafsiriwa kuwa ni uhaini.

Na aliewatukana viongozi wa CCM naye hakuachwa aliopewa adhabu pia.
Ninaomba kanuni za Chama Cha Mapinduzi na nyaraka zingine mhimu ziwe pia zinafika kwenye Matawi yetu .

Ushari kwako Rais
Urais ni taasisi na nimzigo anaejua uzito wa huo mzigo ni Rais mwenyewe.
Bada ya kipindi cha pili cha miaka 5 kufikia ukomo 2025 nikutakie Amani ya Bwana akulinde ukimaliza mda wako Ubaki kuwa Baba Mdogo wa Taifa letu kwa kuwa Baba mkubwa wa Taifa Mwl Julius K Nyerere aliisha tangulia mbere ya haki.

Ni AAJK
Mwanza
 
dokta lu

Senior Member
Apr 8, 2012
176

Yuko sahihi huyo mwenyekiti Kama kikao ni Cha wananchi wote na sio Wana CCM pekee.
 
TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
16,900
2,000
Maoni yangu. Kwa Mh. Dr. Magufuli 2020-2025
=====
Ili kuharakisha maendeleo ya nchi hii na watu wake aondoe Urasimu kwenye utekelezaji wa shughuli za uzalishaji zinazosimamiwa na serikali.

Mfano wa urasmu ni kama ifuatavyo:

Unaandika imprest kwa ajili ya ela ya kupalilia magugu kwenye shamba la umma la mahindi la ekari 100 . Ela hiyo unakuja kuipata baada ya miezi miwili... Majani magugu yameisha meza mahindi !!! Na bado wanakuja( wakuu) kukulaumu kuwa huwezi kazi. Wakati huo huo hawataki kukupa ela yote ya kugharamia mradi huo wa mahindi toka kuandaa shamba mpaka kuvuna. Wanakupa ela kwa awamu awamu.

Biashara kama hizi zinazojali muda hazitaki urasmu wa namna yeyote kwenye uendeshaji wake. Serikali uondoe urasimu huu ambao unalazimika fomu ya kuomba ela isainiwe na watu kibao kabla ya kuidhinisha ela hiyo na hivyo kuchelewesha upatikanaji wa ela kwa wakati.
 
achimbalapi

New Member
Nov 14, 2019
2
45
Ushauri kwa Mheshimiwa Mwenyekiti CCM Taifa pia akiwa Ndie Raid wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015-2020 na 2020-2025 inayofuata
Kuusema ukweli asieziona juhudi zako na Uzalendo wako Akajinyongee makamasi .
Niombe kusema kero yangu moja nitamalizia maoni.
1-Chama Cha Mapinduzi ndicho kinachounda Selikali za Mitaa hadi Selikali kuu je huyu Mwenyekiti wa Selikali ya mtaa wa Igombe B alipata wapi ujasiri wa kuwaambia Viongozi wake wa Tawi CCM wavue sare za,CCM waziweke chini?
Alipata wapi udume wakusema ni marufuku kuvaliwa safe za CCM kwenye vikao vyake anavyoitisha?
-Vitendo na kauli hizi ni uhaini dhidi ya Chama Cha Mapinduzi nisawa na kutangaza mapinduzi ama uasi .
Hatua zilizo chukuliwa.
1-Secretariet ya Tawi niliielekeza ifanye kikao na wahusika iwahoji .
2-Bada ya kuwahoji iandae taarifa ya kikao na iwasilishwe kwenye kikao cha Kamati ya Siasa cha Tawi ambacho Mimi ndie Mwenyekiti na taarifa yao ikiwa watakutwa na hatia Secretariat ije na mapendekezo ya hatua gani zichukuliwe .
3-Secretariat ilifanya yote kwa umahili mkubwa naipongeza.
4-Kwa kuwa walikutwa na hatia kwa kukiri Mwenyekiti wa selikali ya mtaa akikiri alisema alifanya hivyo kutokana na ushauri aliopewa na kiongozi wa chadema kwa uchambuzi zaidi hili linamaanisha yuko tayali kufanya uhaini dhidi ya,CCM kwa maslahi ya chadema kibaya zaidi mtu huyu alikuwa Mwenyekiti wa Tawi CCM kwa miaka isiopungua 5 kabla ya kujihudhuru na kugombea umwenyekiti selikali ya mtaa.
5-Maamuzi ya Kamati ya siasa yasipo pinduliwa na marafiki zake walioko Kamati ya siasa kata
adhabu aliopewa nifunzo kwake na wengine wenye nia ya kufanya makosa yanayo weza kutafsiriwa kuwa ni uhaini.
Na aliewatukana viongozi wa CCM naye hakuachwa aliopewa adhabu pia.
Ninaomba kanuni za Chama Cha Mapinduzi na nyaraka zingine mhimu ziwe pia zinafika kwenye Matawi yetu .
Ushari kwako Rais
Urais ni taasisi na nimzigo anaejua uzito wa huo mzigo ni Rais mwenyewe.
Bada ya kipindi cha pili cha miaka 5 kufikia ukomo 2025 nikutakie Amani ya Bwana akulinde ukimaliza mda wako Ubaki kuwa Baba Mdogo wa Taifa letu kwa kuwa Baba mkubwa wa Taifa Mwl Julius K Nyerere aliisha tangulia mbere ya haki.
Ni AAJK
Mwanza
Ushauri wako muhimu sana kwa wenye macho yakuona na kufikiri tunamuhitaji sana Rais aendelee kutuongoza baba mdogo nchi tajiri hiiii
 
FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
500
Nyota huwakilisha nguvu ya Taifa hivyo kuwa na nyota mbili ktk bendera ni kuwakilisha nguvu ya nchi Bara na visiwani.Pia tutatoa ajira kwa wabunifu kushauri ziwekwe pembe ipi,na ziwe za rangi ipi.

Mbili na mwisho,nitamuomba kama Rais na baba wa Watanzania apitie upya barua yangu niliyomtumia mwaka 2018 ikiwa tu watumishi wa Ikulu hawakuimisplace na kutomfikia,nilituma kwa njia ya EMS tokea Kahama,na Posta huwa na reference ya kilakilichotumwa ikiwemo tarehe na mtu aliyetuma.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom