Paul Makonda, mwanafunzi wa Hayati Rais Magufuli anayevutia watu kila kona ya nchi anayopita

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
949
2,865
Jamii ina mengi yasiyotatuliwa, ziara ya Mwenezi wa CCM Paul Makonda imegundua changamoto nyingi ambazo hazijatatuliwa ni kama vile viongozi wengi wamechaguliwa kwa bahati mbaya hawakujiandaa kuwa viongozi na ndio maana wameshindwa kutatua matatizo yaliyo kwenye jamiii wanazozihudumia, je anahitajika mchezaji mwingine wa akiba aingie kwenye uongozi kuweka mambo sawa? Kwa jicho la kisiasa Mwenezi Paul Makonda ndiye Super Sub ya ushindi wa CCM 2025.

Hakika Mwenezi Paul Makonda anakumbana na majanga mengi kila kona anayopita, ni kama vile kila siku yupo msibani analia mbele ya hadhara kwa changamoto za watu anazokutana nazo, mara watu wametekwa mwaka mzima hawajaonekana, mara Umeme unakatwa kila siku, mara maji hayatoki wananchi wanakunywa maji ya tope, mara mtoto wa miaka 10 analisha familia, mara mtu kakatwa mapanga kichwani watu hawajachukuliwa hatua, ziara ya Mwenezi Paul Makonda ni maabara sahihi kwa CCM kuelekea uchaguzi mkuu ujao, Wananchi wanasema hiki ni chuma, huu ni mtaji wa CCM, wengine wanamuona Hayati Rais Magufuli ndani ya Paul Makonda,

Itoshe kusema kwa muda sasa tangu kuondoka kwa aliyekua Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Rais John Pombe Magufuli, siasa za Tanzania zilipoteza mvuto, zile shamrashamra za kufatilia shughuli za kisiasa ziliisha au zilipungua kwa kiasi kikubwa, katika ofisi za umma unaweza kujibiwa chochote na usifanye lolote, sasa ugonjwa umepata dawa, Mwenezi Paul Makonda anapita kila mkoa, unaweza kushuhudia wakuu wa ofisi mbalimbali wakitetemeka na kujiandaa na ujio wa mwenezi wa Mwenezi wa CCM, Chama kimeshika hatamu, faraja imerudi kwa Wananchi, sasa kila changamoto inawekwa hadharani, viongozi wanaambiwa mabaya yao hadharani, ni kama vile ukombozi unapita, mtenda kosa ukimsema hadharani hawezi kurudia tena kosa hilo,

Kila anayefuatilia siasa za Tanzania atakubaliana na mimi kuwa kwa sasa Mh Paul Makonda, Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndiye anayetamba katika anga za kisiasa hapa nchini, ujio wake umekuwa wa kishindo sana na hii ni karata muhimu kuelekea mbio za uchaguzi wa 2025.

Tufahamu kuwa awamu ya tano ya CCM, Hayati Rais Magufuli alianzisha siasa zilizojulikana kama siasa za kutetea wanyonge na kupitia mbinu hii alifanikiwa kwa asilimia zaidi ya 90% kuteka nyoyo na akili za watanzania hasa wa tabaka la chini ambao walikuwa wakifurahishwa na jinsi Hayati Rais Magulfuli alivyokuwa akiwawajibisha viongozi, baada ya yeye kuondoka aina ya siasa za Hayati Rais Magufuli zilionekana kupotea na kundi kubwa la watu wa tabaka la chini halikupenda viongozi kuwajibishwa wanapokosea na hii ilipelekea taratibu awamu hii kuanza kupoteza mvuto hasa kwa raia wa hili tabaka la chini.

Nimalizie kwa kupongeza ushauri wa kumrudisha Makonda kuwa active kwenye siasa tena ndani ya chama na akaukubali kwani Makonda anaziweza siasa za Hayati Rais John Pombe Magufuli na hivyo lile kundi kubwa la watu lililopoteza imani na awamu hii ya CCM taratibu litaanza kurudisha imani na hili linajidhihirisha kupitia mikutano ya Mwenezi Paul Makonda inayoendelea Tanzania, tuseme tu ujio wa Mh Makonda kama Mwenezi wa Chama ni wa kimkakati zaidi, chama kimerudi kwa Wananchi.

Nikiishia hapa, Mimi ni

Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of business administration in International business.
-Master of Leadership and Management.
-Assessment on the Effects of Micro-financing on Poverty Reduction.
 
Huko shule ulienda kusomea ujinga tu
 
Masters
 
Back
Top Bottom