1. Wanalalamika kuwa rais Samia kachagua mzee kuwa kamishina, kisa ni mwalimu wake.

-Mwendazake alichagua professor aliyemsimamia PHD yake kuwa katibu mkuu wa wizara X nasi tulikaa kimya.

-Mbona ana nakinda naye ni kamishina wa sensa, tena bibi haswa, hamjamsema, kisa uzanzibari wake yule mdada(maana kwangu namwona mwali tu).

2.Kupanda kwa gharama za bidhaa

-Ni mjinga tu anaweza lalamika hili, wakati hata kwa beginners wa kutumia mtandao akigoogle hilo ataona ni duniani kote kwa sasa hadi ulaya.

3....................

Niulizeni haraka maswali yenu niyahibu hapa, tumechoka sasa wajinga mliotumwa kumchafua kipenzi chetu.

Sitaki maswali ya sijui ufisadi, wizi, upigaji, hadi yule jamaa arudishe 1.5t yetu ndo nitajibu ujinga huo.

bado tuna hasira nae, tunamdai pesa yetu, shwaiiinnnnn!!!
 
1.Kuna wajinga toka jana eanalalamika kuwa rais Samia kachagua mzee kuwa kamishina, kisa ni mwalimu wake.

Unfortunately hawana hata mgombea,wako broke 🤣🤣
 
Utaishia kutukanwa ujijaribu kueleweahana na hawa watu, ni wapumbavu kupindukia

Zitto aliwaambia ukweli mchungu, kama wànamkumbuka sana, Chato kuna ardhi ya kuwatosha
 
1.Kuna wajinga toka jana eanalalamika kuwa rais Samia kachagua mzee kuwa kamishina, kisa ni mwalimu wake.

-Mwendazake alichagua professor aliyemsimamia PHD yake kuwa katibu mkuu wa wizara X nasi tulikaa kimya.

-Mbona ana nakinda naye ni kamishina wa sensa, tena bibi haswa, hamjamsema, kisa uzanzibari wake yule mdada(maana kwangu namwona mwali tu).

2.Kupanda kwa gharama za bidhaa

-Ni mjinga tu anaweza lalamika hili, wakati hata kwa beginners wa kutumia mtandao akigoogle hilo ataona ni duniani kote kwa sasa hadi ulaya.

3....................

Niulizeni haraka maswali yenu niyahibu hapa, tumechoka sasa wajinga mliotumwa kumchafua kipenzi chetu.

Sitaki maswali ya sijui ufisadi, wizi, upigaji, hadi yule jamaa arudishe 1.5t yetu ndo nitajibu ujinga huo.

bado tuna hasira nae, tunamdai pesa yetu, shwaiiinnnnn!!!
Wewe kama nani labda
 
-Mwendazake alichagua professor aliyemsimamia PHD yake kuwa katibu mkuu wa wizara X nasi tulikaa kimya.
Kwa chuo kikuu mwanafunzi anaweza kuwa na umri mkubwa kumzidi hata mzazi wa mwalimu wake. Kwahiyo haina shida.

Lakn Samia kamteua mwalimu aliyemfundisha mwaka 1974 akiwa kidato cha 2. Hivi unaelewa lkn??
 
1.Kuna wajinga toka jana eanalalamika kuwa rais Samia kachagua mzee kuwa kamishina, kisa ni mwalimu wake.

-Mwendazake alichagua professor aliyemsimamia PHD yake kuwa katibu mkuu wa wizara X nasi tulikaa kimya.

-Mbona ana nakinda naye ni kamishina wa sensa, tena bibi haswa, hamjamsema, kisa uzanzibari wake yule mdada(maana kwangu namwona mwali tu).

2.Kupanda kwa gharama za bidhaa

-Ni mjinga tu anaweza lalamika hili, wakati hata kwa beginners wa kutumia mtandao akigoogle hilo ataona ni duniani kote kwa sasa hadi ulaya.

3....................

Niulizeni haraka maswali yenu niyahibu hapa, tumechoka sasa wajinga mliotumwa kumchafua kipenzi chetu.

Sitaki maswali ya sijui ufisadi, wizi, upigaji, hadi yule jamaa arudishe 1.5t yetu ndo nitajibu ujinga huo.

bado tuna hasira nae, tunamdai pesa yetu, shwaiiinnnnn!!!
Unaanzaje kuona upumbavu kwa wenzako pasipo kuutambua kwanza upumbavu na ujinga wako?

Swali Dogo tuu kwako mwehu wa Lumumba!

Umeutumiaje ubongo wako kuwezesha bidhaa zisizotokana na Ukraine na Urusi zisipande?

Je? Kwa nini unashadadia sana vitu vipande juu pasipo kusimama kama mtu mwenye maono na kuhakikisha nchi yako inapiga hatua katikati ya Vita hivi kwako wewe ukaifanya kuwa fursaa??

Unadhani huyu aliyekufa atatusaidua tena kutuvusha ikiwa kila kitu sasa imekuwa ni yeye ni yeye...

Ukiachana na kasi ya uwekaji umeme vijijin ilivyokuwa awali na kwamba mwaka uliopita umeme ungelikuwa umekwisha malizikwa kusambazwa

Tuambie, ni lini umeme wa Rea utamalizwa kusambazwa vijiji vyote?

Kwa nini umeongeza malipo ya wateja wa Umeme Kutoka 27 hadi laki tatu na Rea ikafia hapohapo?

Unadhani hasira uliyonayo ndio Itatua changaomoto ya maisha ya watanzania

Na kwa nini unadhani, kila anayepinga na kuuliza juu ya maendeleo ya nchi ni lazima awe sukuma gang?

Ni kipi kikubwa kilichoanzishwa sasa na chenye msisimko kwa nchi kinachochoa maendeleo sasa na badaye ukipndoa miladi ya kimkakati iliyoacha na mtu usiyempenda?

Ni kwa nini sasa, hamuwezi tuu kufanya kazi ili kuwaondolea iumasikini watanzania mmekalia kumsimanga asiye binadamu sasa?
 
IMG-20220522-WA0004.jpg
 
Samia aelimishwe kuwa tukiwa na katiba mpya kama ile tulioipendekeza kwa kutumia fedha nyingi ; ile ya WARIOBA, itakuwa rahisi zaidi Uchumi wa nchi kufunguka!!!
 
Back
Top Bottom