wadau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Uelewa wa masuala ya kisheria ni mdogo sana Tanzania

    Binafsi nadhani kuna haja ya jambo kufanyika ili kuongeza uelewa wa masuala ya kisheria baina ya watanzania. Najua sheria ni noble professional lakini hii haimaanishi ni wale waliosoma sheria tu ndiyo wanapaswa kuijua sheria, NO kila raia anatakiwa awe japo na uelewa wa msingi kuhusu masuala ya...
  2. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Wadau wa season natafuta hii

    Wakuu kwa mwenye season ya kikorea inayoitwa THE HEALER main theme anisaidie maana nimeitafuta kwa kipindi kirefu bila mafanikio Nimeitafuta YouTube wameifuta msaada wakuu
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wadau hivi kati ya Mwanamke anayeomba pesa mara tu baada ya kukubali kuwa na mahusiano na mwanaume na mwanaume anayeomba sex mara tu baada ya kukubali

    Wadau hivi kati ya Mwanamke anayeomba pesa mara tu baada ya kukubali kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume na mwanaume anayeomba sex mara tu baada ya kuingia kwenye mahusiano na mwanamke yupi muongo au tapeli wa mapenzi kwa mwezie
  4. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Wadau hivi kuna uwezekano wa busara na pesa kuwa katika chombo kimoja?

    Vikao vingi vya harusi, misiba na michango mengine hautaweza kuona mwenye pesa kuwa na busara ya kuongoza kikao au hata kawaida kumshuhudia mwenye pesa awe na busara. Nadhani sijawahi kushuduia unajua kwanini? Je, ulishawahi kushuhudia combination hii? Unamkumbuka Rais wa Yanga alivyowaita wana...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Benki kubwa zaidi Tanzania, CRDB yaongoza

    News Alerts: Benki kubwa zaidi Tanzania CRDB yaongoza Wadau hamjamboni nyote Takwimu mpya kabisa nimeziweka hapo chini.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ajira. Nina uzoefu kusimamia Clearing and forwarding and logistics

    Nina uzoefu wa miaka kumi kusimamia Kampuni za clearing and forwarding. Nimebobea kwenye importations, Exportations, Transit pia usimamiaji wa Customs Bonded Warehouse. Naombeni connections wadau 0753 132 133
  7. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu wateja wa mazao ya baharini

    Habarini ndugu, naomba kufahamu kampuni au wateja wakubwa wa mazao ya baharini kama vile mwani, jongoo bahari, wachakataji wa samaki, mikoko, Seashell nk. Kiujumla nahitaji kufahamu wale wote ambao wapo kwenye value chain hiyo. Ahsanteni.
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Picha: Wadau wakiangalia mpira huku wakigonga vyombo

  9. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayefahamu tiba ya huu utando utando kwenye ngozi za watoto

    Kuna hii hali ya vidoa vilivyopauka kutokea kwenye ngozi ya mtoto. Naomba mwenye ufahamu wa tiba yake ya asili au ya hospitalini maana tuneshatumia dawa unaenda na kurudi.
  10. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki ahamasisha wadau kuibua matamasha ili kuchagiza utalii nchini

    • Mikoa na Wilaya yatakiwa kutangaza utalii na fursa za uwekezaji Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amefungua rasmi tamasha la Utalii Same huku akihamasisha mikoa na wilaya zote nchini kuibua matamasha ya utalii na kutangaza fursa za uwekezaji katika maeneo yenye...
  11. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mapenzi nisaidieni hapa, Maji ya shingo

    Kuna dada bhana nampenda sanaa! Tena nampenda kweliii. Wakati tunaanza kuwa pamoja nilimwambia kuwa mimi nina hasira sanaa lakini sio za kufanya Violence kwa mwanamke, akaahidi atanielewa. Mara kadhaa amekuwa akinikosea, anaendelea kuwasiliana na Ex wake wanakutana na natumiaga hekima nyingi...
  12. Trophic

    JamiiForums Tanzania Kwa Wadau Wote Wa Muziki Humu: Naombeni Feedback Yenu [Zoom]

    Hello JF especially wadau wa muziki. Here's my new track; inastahili marks ngapi kati ya hizo kumi? Elements zipi niziadapt/nizibadili/niziongeze kwenye mix zijazo? Natumia Fl Studio + Ableton Live. Kuhusu style ya mziki, bado siko sure hii ni aina gani, but the whole idea ni kuunda...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wadau, Mtoto mdogo wa mwaka mmoja amekatazwa vyakula, ana allergy sasa

    Mtoto mdogo wa mwaka mmoja amekatazwa ana allergy sasa Samaki Maziwa ya unga na ng'ombe Karanga Dagaa Soya maharagwe Korosho Vyakula vyenye rangirangi Uji wa lishe Sasa wakuu huyu anapewa vyakula gani? Apate protini
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wadau wa utalii waungana na Jeshi la Polisi kupinga ukatili

    Chama cha Wanawake Mawakala wa Utalii Tanzania (TAWTO) kimeungana na Jeshi la Polisi kupinga vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia Mkoani Arusha kwa kukarabati Ofisi ya Dawati la Jinsia na Watoto Wilaya mjini. Akiongea mara baada ya ufunguzi wa ofisi hiyo Mkuu wa Mkoa wa Arusha John...
  15. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Kwa wadau wa muziki wa zamani, ni nani huyu??

  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kituo kinachofuata ni Mtwara mjini. Wadau wa Mtwara mjini nipeni ruti

    Wakuu kwema? Ziara ya Nachingwea imetamatika sasa naja Mtwara mjìni. Wenyeji wa Mtwara mjini naomba mnipe maelekezo. Sehemu zipi za kuburudika? Na kuhusu wale watu wetu wa jinsia pendwa ni sehemu ( kiwanja gani ? Bar au club) nikienda nitakutana na watoto wenyeji yani wazawa wa hapo hapo...
  17. Imruu

    JamiiForums Tanzania Wadau, hivi mwenendo wa soko la ajira la Tanzania mnauonaje?

    Hebu nipeni mawazo yenu wakuu; hii trend ya upatikanaji wa ajira kwa upande wenu mnaionaje? Ukiangalia miaka kumi iliyopita, idadi ya fursa za ajira zilizokuwepo na idadi ya wataalamu huru waliokuwepo (wahitimu). Ukiangalia idadi ya fursa za ajira zilizokuwepo hivi sasa na idadi ya wataalamu...
  18. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Wadau tusaidiane, mbinu gani nitumie kuisahau timu ya taifa?

    Kutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi. Sasa wadau tusaidiane mbinu gani nitumie nisiendelee kuumia.
  19. A

    JamiiForums Tanzania wadau ninashida naombeni mnisaidie

    wakuu kila sehemu ninayofika mademu wanachanganyikiwa hasa wale warembo sana yani unakuta kama nimeenda sehemu kupata huduma mademu wote wahilo eneo wanaojihisi niwarembo hasa wanajipitisha mbeleyangu hatamke wangu nimempata kwastail hiohio sikumtongoza Wala nini nakumbuka nilienda...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zikiwa zimesalia siku chache, Wadau wazidi kuunga Mkono Maandamano ya Amani

    Huku kukiwa Tayari kumetolewa ratiba kamili ya maandamano ya Chadema na Wananchi , ili kupeleka ujumbe duniani wa kushinikiza kuondolewa kwa miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi bungeni , Tayari lundo la Wadau wameunga Mkono jambo hilo wakiwemo Waandishi wa habari Hesabu ya leo inaonyesha...
Back
Top Bottom