Wadau tusaidiane, mbinu gani nitumie kuisahau timu ya taifa?

Trubarg

JF-Expert Member
Jan 8, 2020
4,309
7,000
Kutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi. Sasa wadau tusaidiane mbinu gani nitumie nisiendelee kuumia.
 
Njia ni mbili tu.
1. Ondoa Hippocampus.
Ni sehemu ya ubongo, ndipo kumbukumbu za matukio hutengenezwa na kuorodheshwa kwa ufikiaji wa baadaye. Kumbukumbu za matukio ni kumbukumbu za wasifu kutoka kwa matukio mahususi katika maisha yetu.
Ukiondoa hiyo part ya ubongo, hakika utaisahau Taifa Stars.

2. Kill yourself
Ni kitendo cha kujiondoa uhai, hapo utazikwa au kuchomwa moto na kupelekea kutokuwepo tena duniani. Hakika utakuwa umeachana na Taifa stars milele.
 
Mimi ambacho hufanya kila muda taifa stars wanavyo cheza hushabikia timu pinzani bahati nzuri hazijaniangusha na nimekuwa na furaha sana. Pia kama ni mwana Yanga mwenzangu unaweza ukashabikia Mali Africa ni moja
Naungana na wewe Mkuu japo kuna mtu mi akawa ananiuliza eti nawezaje kushangilia watu nisiowafahamu?

Mi nilichomjibu tu kuwa naweza na ni kweli naweza na hii imenisaidia sana kuepukana na stress za kujitakia.
 
Stars inakera mnoo, sijui Kama wachezaji na makocha wanajua maumivu wanayopitia Mashabiki. Mechi ya Jana wameuza.
 
Kutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi. Sasa wadau tusaidiane mbinu gani nitumie nisiendelee kuumia.
Taifa starts haikuenda AFCON.

CCM walitengeneza timu yao wakaenda badala ya Taifa Staz😃
 
Kwanza jina la timu libadilike, wale sio stars wa Taifa lote!?

Ni aibu kama kweli cream ya Taifa zima ni ile ya watu wasio jua kujiongeza(Agressiveness) na kupambania Taifa.
 
Kutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi. Sasa wadau tusaidiane mbinu gani nitumie nisiendelee kuumia.
Ikicheza we ibetie magoli
 
Back
Top Bottom