wadau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wadau washauri Tigo Pesa ya Inonga ifuatiliwe

    Na mimi naunga mkono, nashani sasa aondolewe kikosini, na mechi zilizobaki asicheze hata moja
  2. MUMU THE DON

    JamiiForums Tanzania Kwanini India inaikubali sana Israel?

    Katika muda huu wa Israel kupata maadui wengi duniani maana amefanya mauaji Gaza lakini haijatosha kuvunja mahusiano mema kati ya nchi hizo mbili India na israel Katika social media post za Israel zimekuwa zikipata upingamizi kwa mataifa mengi ila India wao wameomesha bado mahaba na Jews katika...
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Eti wadau kuna biashara ya kukodisha concrete mixer na ikafanya vizuri?

    Habari za asubuhi huku tukiendelea na vita lazima maisha yaendelee Tuamke kuinua uchumi unaoanguka nahitaji kujua kama umewahi kukutana na hii biashara ya kukodisha mtambo wa kuchanganya zege Tena Kwa mikoani huku kweli nitakuwa nimefanya uwekezaji wenye matokeo nikinunua hio mashine?
  4. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Wadau mnatumia mbinu gani kupambana na matangazo kwenye Android Phones?

    Habari wadau, Matangazo kwangu mimi yamekuwa kero kubwa sana. Yaani huwezi fanya jambo bila kukutana na adds, apps ambazo haina adds ni Whatsapp, Insta na X. Zingine kufungua kabla hujafanya lolote lazima ukutane na tangazo kama siyo video basi pop ups. Video zingine zinaenda Hadi dakika...
  5. Candela

    JamiiForums Tanzania Riba za Microcredit zipoje wadau?

    Hizi microcredit zinatakiwa zitoze riba kiasi gani wanajamii, kuna mtu kaingizwa mkenge hapa tunatafuta suluhu lakini kwa kiasi alichokopa na marejesho ni kama anafanyiwa robbing. Kibaya wahusika hawaruhusu awalisilishe maulizo yake katika ofisi zao, yaani wale vijana wanajiita afisa mikopo...
  6. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Uelewa wa masuala ya kisheria ni mdogo sana Tanzania

    Binafsi nadhani kuna haja ya jambo kufanyika ili kuongeza uelewa wa masuala ya kisheria baina ya watanzania. Najua sheria ni noble professional lakini hii haimaanishi ni wale waliosoma sheria tu ndiyo wanapaswa kuijua sheria, NO kila raia anatakiwa awe japo na uelewa wa msingi kuhusu masuala ya...
  7. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Wadau wa season natafuta hii

    Wakuu kwa mwenye season ya kikorea inayoitwa THE HEALER main theme anisaidie maana nimeitafuta kwa kipindi kirefu bila mafanikio Nimeitafuta YouTube wameifuta msaada wakuu
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wadau hivi kati ya Mwanamke anayeomba pesa mara tu baada ya kukubali kuwa na mahusiano na mwanaume na mwanaume anayeomba sex mara tu baada ya kukubali

    Wadau hivi kati ya Mwanamke anayeomba pesa mara tu baada ya kukubali kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume na mwanaume anayeomba sex mara tu baada ya kuingia kwenye mahusiano na mwanamke yupi muongo au tapeli wa mapenzi kwa mwezie
  9. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Wadau hivi kuna uwezekano wa busara na pesa kuwa katika chombo kimoja?

    Vikao vingi vya harusi, misiba na michango mengine hautaweza kuona mwenye pesa kuwa na busara ya kuongoza kikao au hata kawaida kumshuhudia mwenye pesa awe na busara. Nadhani sijawahi kushuduia unajua kwanini? Je, ulishawahi kushuhudia combination hii? Unamkumbuka Rais wa Yanga alivyowaita wana...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Benki kubwa zaidi Tanzania, CRDB yaongoza

    News Alerts: Benki kubwa zaidi Tanzania CRDB yaongoza Wadau hamjamboni nyote Takwimu mpya kabisa nimeziweka hapo chini.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ajira. Nina uzoefu kusimamia Clearing and forwarding and logistics

    Nina uzoefu wa miaka kumi kusimamia Kampuni za clearing and forwarding. Nimebobea kwenye importations, Exportations, Transit pia usimamiaji wa Customs Bonded Warehouse. Naombeni connections wadau 0753 132 133
  12. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu wateja wa mazao ya baharini

    Habarini ndugu, naomba kufahamu kampuni au wateja wakubwa wa mazao ya baharini kama vile mwani, jongoo bahari, wachakataji wa samaki, mikoko, Seashell nk. Kiujumla nahitaji kufahamu wale wote ambao wapo kwenye value chain hiyo. Ahsanteni.
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Picha: Wadau wakiangalia mpira huku wakigonga vyombo

  14. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayefahamu tiba ya huu utando utando kwenye ngozi za watoto

    Kuna hii hali ya vidoa vilivyopauka kutokea kwenye ngozi ya mtoto. Naomba mwenye ufahamu wa tiba yake ya asili au ya hospitalini maana tuneshatumia dawa unaenda na kurudi.
  15. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki ahamasisha wadau kuibua matamasha ili kuchagiza utalii nchini

    • Mikoa na Wilaya yatakiwa kutangaza utalii na fursa za uwekezaji Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amefungua rasmi tamasha la Utalii Same huku akihamasisha mikoa na wilaya zote nchini kuibua matamasha ya utalii na kutangaza fursa za uwekezaji katika maeneo yenye...
  16. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mapenzi nisaidieni hapa, Maji ya shingo

    Kuna dada bhana nampenda sanaa! Tena nampenda kweliii. Wakati tunaanza kuwa pamoja nilimwambia kuwa mimi nina hasira sanaa lakini sio za kufanya Violence kwa mwanamke, akaahidi atanielewa. Mara kadhaa amekuwa akinikosea, anaendelea kuwasiliana na Ex wake wanakutana na natumiaga hekima nyingi...
  17. Trophic

    JamiiForums Tanzania Kwa Wadau Wote Wa Muziki Humu: Naombeni Feedback Yenu [Zoom]

    Hello JF especially wadau wa muziki. Here's my new track; inastahili marks ngapi kati ya hizo kumi? Elements zipi niziadapt/nizibadili/niziongeze kwenye mix zijazo? Natumia Fl Studio + Ableton Live. Kuhusu style ya mziki, bado siko sure hii ni aina gani, but the whole idea ni kuunda...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wadau, Mtoto mdogo wa mwaka mmoja amekatazwa vyakula, ana allergy sasa

    Mtoto mdogo wa mwaka mmoja amekatazwa ana allergy sasa Samaki Maziwa ya unga na ng'ombe Karanga Dagaa Soya maharagwe Korosho Vyakula vyenye rangirangi Uji wa lishe Sasa wakuu huyu anapewa vyakula gani? Apate protini
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wadau wa utalii waungana na Jeshi la Polisi kupinga ukatili

    Chama cha Wanawake Mawakala wa Utalii Tanzania (TAWTO) kimeungana na Jeshi la Polisi kupinga vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia Mkoani Arusha kwa kukarabati Ofisi ya Dawati la Jinsia na Watoto Wilaya mjini. Akiongea mara baada ya ufunguzi wa ofisi hiyo Mkuu wa Mkoa wa Arusha John...
  20. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Kwa wadau wa muziki wa zamani, ni nani huyu??

Back
Top Bottom