Msaada wadau mwenye kunifanikishia hili

Voice of Tanzania

JF-Expert Member
Sep 23, 2018
1,637
2,459
Mwenye access ya kunisaidia kunifanikishia kujiunga na huduma za post paid ya mtandao wa simu wowote ule naomba tuwasiliane PM.

Longolongo za fika tigo shop, Voda shop, Airtel shop sijui, siziwezi nimekosa nafasi,

Nawasilisha wakuu.

Wenu katika miangaiko ya Ujenzi wa taifa 🙏
 
Back
Top Bottom