LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,120
- 27,126
Wakuu kwema? Ziara ya Nachingwea imetamatika sasa naja Mtwara mjìni.
Wenyeji wa Mtwara mjini naomba mnipe maelekezo.
Sehemu zipi za kuburudika? Na kuhusu wale watu wetu wa jinsia pendwa ni sehemu ( kiwanja gani ? Bar au club) nikienda nitakutana na watoto wenyeji yani wazawa wa hapo hapo mtwara au mabinri wa hapo hapo kusini? Sitaki kiwanja ambacho nitakutana na wanawake kutoka Dar ambao wamekuja kudanga kusini...
I prefer kiwanja ambacho kuna vibinti vya miaka kumi na nane plus sio mishangazi.
With much thanks in advance.