wadau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Nimeshinda slot ya wine

    Kuna lijaamaa linaitwa Congo cash ni huko Sokabet sijui nimeicheza naona iko powa linatema hela vibaya sana ila kila mtu na bahati yake 😄🤣😂.
  2. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Wadau wa habari wakutana na Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar

    Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Tanzania (TAMWA ZNZ) Dkt. Mzuri Issa amesema kuwa ni muhimu kuwa na sheria nzuri za habari ambazo zinapelekea kuwepo kwa uhuru wa habari na uhuru wa kujieleza kwa jamii. Amesema hayo wakati wa mkutano wa kutoa mapendekezo ya marekebisho ya sheria ya...
  3. V

    JamiiForums Tanzania DC Kiteto ni wakati wa kuitisha kikao cha wadau wa kilimo ili kuwaomba radhi

    Kwenye sakata la zao la Mbaazi Kiteto, wakulima na wadau wa kilimo wameumizwa sana na Maamuzi yako yaliyokuwa yamejaa dharau, kiburi na Majivuno. Mara zote ulikataa kusikiliza upande wa Pili wa wadau wa kilimo, wewe ukakumbatia kundi la Madalali. Matokeo yake wakulima waliokuwa na mbaazi zao...
  4. President of China

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa kuandika katiba mpya Tanzania katika Jukwaa la Katiba ya Watu, uliojadiliwa na wadau 553

    Mapitio ya Awali: Katiba ni waraka muhimu katika kusimamia utawala na kuelekeza maendeleo ya nchi. Tanzania, kama nchi nyingine, imekutana na mjadala wa kuandika katiba mpya, na hoja mbalimbali zimejitokeza kutoka kwa wadau wa mchakato huo. Taarifa hii inatoa tathmini ya kitaalam juu ya mjadala...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro asisitiza wadau kushirikiana na Serikali kuendeleza Michezo Nchini

    WAZIRI DKT. NDUMBARO ASISITIZA WADAU KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUENDELEZA MICHEZO NCHINI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Septemba 20, 2023 Jijini Dar es Salaam amekutana na viongozi wa timu ya Simba ambapo wamejadili masuala mbalimbali yakiwemo maendeleo ya michezo...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kwa wana Dar: Hapa ni wapi wadau?

    Habari zenu Watu wangu. Naomba msaada kutambua hiyo picha hapa chini itakuwa imepigwa mahali gani? Asanteni.
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania JNICC: Mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa Nchini

    Wanabodi, https://www.youtube.com/live/FKV_bbjQpg4?si=zxr9EcF4YASpj6Fo Niko hapa ukumbi, JNICC, kwenye Mkutano wa Msajili wa Vyama vya Siasa na Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa Nchni Tanzania kuelekea Uchaguzi...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro Azitaka Taasisi Kuongeza Wadau wa Ushirikiano

    WAZIRI DKT. NDUMBARO AZITAKA TAASISI KUONGEZA WADAU WA USHIRIKIANO Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameziagiza Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo kuongeza wadau wa ushirikiano nje ya Serikali ili kutimiza mahitaji ya wananchi katika Sekta za Utamaduni, Sanaa na...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Upesi sana Yanga SC hasa idara yake ya mawasiliano chini ya Msemaji Kamwe ituombe Radhi wadau kwa kutudanganya kusikovumilika

    Tokea Alhamisi iliyopita (ila najua baada ya Kuumbuka kwa leo wamefanya Editing) Kurasa halisi (Official Page) ya Yanga SC na zile za Mashabiki wake Wapuuzi Wapuuzi walitutangazia kuwa Mchezaji wa Yanga SC Beki Gift Fred ameitwa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) Taarifa...
  10. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wadau ukiacha HIV, tujuzane dawa kiboko za kutibu magonjwa ya zinaa

    Wasalaam nyote, Ushiriki wa watu wa afya unahitajika sana hapa. Kutokana wimbi kubwa la pisi kali kuzagaa mitaani, majumbani na sehemu za kula bata, na wimbi la sisi wanaume kutaka kufaidi na kuendelea kufaidi ulaji wa shoo kavukavu kwa kusingizia kuzidiwa. Basi ni vema walau tuambiane...
  11. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Wanachofanya AZAM TV kwenye mpira ni uhuni na utapeli, wadau amkeni

    Wakuu Azam tv hivi karibuni imeanza uhuni ambao lazima ukemewe! Azam walijinasibu kuonyesha ligi ya ufaransa (Ligue 1) ligi ya ujerumani (bundesliga) ligi kuu ya Tanzania (NBC) na hivi karibuni wakasema na Ligue ya waarabu kwa kina Ronaldo .. Ajabu Leo hii nimeona tena kesho wanaonyesha ligi...
  12. black-tz

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu kwenye simu hii ya iphone 5s nilioiogota

    Hii simu nimeiokota nitawezaje kutatua tatizo hili.
  13. Reptilia

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nashindwa kupakuwa movies

    Napata shida sana kwenye kupakua movie kwenye website ya www.netnaija.com, yaani unaanza vizuri tu lakini ukishafika kwenye sehemu ya kupakua muvi na subtitle ukishapress tu ili ikupeleke kwenye file la subshare inakuwa kinyume chake wanakupeleka kwenye mabeting mara mdundo na ma ads mengine ya...
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wadau wa kutembelea Uvinza kwenye UGA wa mahaba tuzungumze hali halisi na balaa lake

    Hello nawasalimu kwa bashasha za ubaharia. Kama rejea ya kichwa Cha habari ilivyo karibu tuseme machache kuhusu mazuri na maswahibu ya mzamo katika wilaya maarufu sana kwenye UGA wa mahaba wilaya pendwa ya Uvinza. Binafsi Mimi nyakati za mazingira masafi huwa nainjoy matembezi ya eneo lote la...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa wadau wa Demokrasia: Lipumba asema Demokrasia iliporomoka sana awamu ya tano

    Mkutano wa kitaifa wa wadau kujadili hali ya demokrasia nchini kuelekea uchaguzi mkuu wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji 2024 na uchaguzi mkuu 2025 === Demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania ilianzishwa mwezi Julai 1992. Tangu wakati huo, serikali imejitahidi kukuza utawala wa...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Jumanne safari kuja Mtwara. Haya mambo wadau tuwekane sawa

    Sijawahi fika Mtwara kwa Bus. Hii ndo mara ya kwanza kabisa kwangu kutaka Fika Mkoa huo tena Kwa usafiri wa Barabara. 1. Naomba nifahamu Bus gani ni luxury 2. Nauli tsh ngapi? Napandia wapi hasa kwa mimi ninayeishi Sinza. 3. Bus zinaondoka na kufika saa ngapi Mtwara 4. Hotel gani nzuri na yenye...
  17. Nkaburu

    JamiiForums Tanzania Wenye masikio wasikie na Wenye macho waone: Bunge linawaalika wadau kutoa maoni

    Kamati tatu za Kudumu za Bunge zinawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Itifaki mbili na Katiba ya Tume ya Afrika ya Usafiri wa Anga ya mwaka 2009
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lindi Mjini aungana na wadau kuishauri Afrika kuwekeza katika utafiti mbegu asili

    NCHI za Afrika zimeshauriwa kuwekeza katika utafiti wa mbegu asili kwa kuwa zina lishe bora, uhakika wa chakula na salama kwa afya ya mtumiaji. Ushauri huo umetolewa na wadau mbegu asili kutoka nchi 25 za Bara la Afrika, Marekani na Ulaya ambao wanakutana jijini Dar es Salaam kwa siku tatu...
  19. Zacht

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa irrigation na wadau wengine Naomba maoni yenu hapa.

    Habari za asubuh . Kuelekea msimu wa kiangazi ni msimu ambao sisi wakulima tunauita msimu wa kukosa kutokana uhaba wa maji , Ila mm Kuna kitu namefikiria kukifanya kwenye sector ya umwagiaji katika kupungaza kutegemea maji ya mvua(kilimo Cha mvua) , nataka nichimbe bwawa kwa ajili ya kuvunia...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Wadau wasisitiza umuhimu wa kukuza huduma ya msaada wa kisheria nchini

    Kufuatia changamoto ya huduma ya msaada wa kisheria kwenye maeneo mbalimbali nchini baadhi ya wadau wamedai kuwa kuna athari ambazo zinaweza kuwa zinatokea kwenye jamii kutokana na huduma hiyo kukosekana hivyo wamesisisitiza umuhimu wa wadau pamoja na Serikali kuendeleza jitihada za kuwezesha...
Back
Top Bottom