Wadau ni kweli mitandao ya simu imeanza kurudisha bando za intaneti?
Binafsi yangu zijapokea mbs zangu ambazo nilishindwa kutumia wakati ntaneti ilivyokata
Kuna hizo mechi tatu wadau nataka nitie hii laki tisa mnayoona hapo vipi nitataboa au nitapotea wadau mawazo yenu muhimu kama wawekezaji kuelekea mwisho wa ligi
Kufuatia mapitio ya orodha ya Taifa ya Dawa Muhimu (National Essential Medicine List -NEMLIT) yaliyofanywa na Wizara ya Afya Aprili 30, 2024 kwa kujumuisha muunganiko,muundo na nguvu kwa dawa 178 pamoja na kujumuisha dawa nne zilizokuwepo kwenye Mwongozo wa Taifa wa Matibabu lakini hazikuwemo...
29 April 2024
Nairobi, Kenya
Mkutano huo ulioanza tarehe 29 April 2024 na kuhutubiwa na viongozi wa kiafrika wakiwemo rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda , William S. Ruto wa Kenya. Mkutano huo ulihudhuriwa na wakuu wa nchi 17 na pia maafisa wandamizi...
Kongamano la Wadau kuhusu Wajibu wa Vyombo vya Habari katika Kuhakikisha Uchaguzi wa Kuaminika (Agenda for Stakeholders’ Conference on the Role of the Media in Ensuring Credible Elections), linafanyika kwenye Ukumbi wa New Dodoma Hoteli, leo Aprili 30, 2024
Baadhi ya Washiriki na ambao...
WADAU WA UONGEZAJI THAMANI MADINI WAITIKIA WITO WA SERIKALI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA UCHENJUAJI MADINI NCHINI
-Waziri Mavunde akutana na Kampuni ya MAST na AKMENITE
-_Viwanda vya Uchenjuaji madini kujengwa Ruvuma,Dodoma,Katavi na Lindi _
-Ujenzi wa viwanda kuanza mapema mwaka huu
Waziri...
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa Makame Mbarawa amesema majaribio treni ya SGR yamekuwa yakizingatia usalama unaofanya treni kutembea kwa mwendokasi wa chini tofauti na itakavyokuwa baada ya safari rasmi kuanza.
Mbarawa amesema treni hiyo kwa kawaida itakuwa na mwendo kasi wa Kilometa...
Katika muda huu wa Israel kupata maadui wengi duniani maana amefanya mauaji Gaza lakini haijatosha kuvunja mahusiano mema kati ya nchi hizo mbili India na israel
Katika social media post za Israel zimekuwa zikipata upingamizi kwa mataifa mengi ila India wao wameomesha bado mahaba na Jews katika...
Habari za asubuhi huku tukiendelea na vita lazima maisha yaendelee Tuamke kuinua uchumi unaoanguka nahitaji kujua kama umewahi kukutana na hii biashara ya kukodisha mtambo wa kuchanganya zege Tena Kwa mikoani huku kweli nitakuwa nimefanya uwekezaji wenye matokeo nikinunua hio mashine?
Habari wadau,
Matangazo kwangu mimi yamekuwa kero kubwa sana. Yaani huwezi fanya jambo bila kukutana na adds, apps ambazo haina adds ni Whatsapp, Insta na X. Zingine kufungua kabla hujafanya lolote lazima ukutane na tangazo kama siyo video basi pop ups. Video zingine zinaenda Hadi dakika...
Hizi microcredit zinatakiwa zitoze riba kiasi gani wanajamii, kuna mtu kaingizwa mkenge hapa tunatafuta suluhu lakini kwa kiasi alichokopa na marejesho ni kama anafanyiwa robbing.
Kibaya wahusika hawaruhusu awalisilishe maulizo yake katika ofisi zao, yaani wale vijana wanajiita afisa mikopo...
Binafsi nadhani kuna haja ya jambo kufanyika ili kuongeza uelewa wa masuala ya kisheria baina ya watanzania. Najua sheria ni noble professional lakini hii haimaanishi ni wale waliosoma sheria tu ndiyo wanapaswa kuijua sheria, NO kila raia anatakiwa awe japo na uelewa wa msingi kuhusu masuala ya...
Wakuu kwa mwenye season ya kikorea inayoitwa THE HEALER main theme anisaidie maana nimeitafuta kwa kipindi kirefu bila mafanikio
Nimeitafuta YouTube wameifuta msaada wakuu
Wadau hivi kati ya Mwanamke anayeomba pesa mara tu baada ya kukubali kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume na mwanaume anayeomba sex mara tu baada ya kuingia kwenye mahusiano na mwanamke yupi muongo au tapeli wa mapenzi kwa mwezie
Vikao vingi vya harusi, misiba na michango mengine hautaweza kuona mwenye pesa kuwa na busara ya kuongoza kikao au hata kawaida kumshuhudia mwenye pesa awe na busara. Nadhani sijawahi kushuduia unajua kwanini? Je, ulishawahi kushuhudia combination hii?
Unamkumbuka Rais wa Yanga alivyowaita wana...
Nina uzoefu wa miaka kumi kusimamia Kampuni za clearing and forwarding. Nimebobea kwenye importations, Exportations, Transit pia usimamiaji wa Customs Bonded Warehouse.
Naombeni connections wadau 0753 132 133
Habarini ndugu, naomba kufahamu kampuni au wateja wakubwa wa mazao ya baharini kama vile mwani, jongoo bahari, wachakataji wa samaki, mikoko, Seashell nk.
Kiujumla nahitaji kufahamu wale wote ambao wapo kwenye value chain hiyo.
Ahsanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.