Wadau naombeni ushauri

jogs

New Member
Nov 14, 2023
4
3
Nipo chuo nasoma Diploma in Clinical Medicine lakini nafikiria kuanza kilimo cha mihogo maeneo ya kisarawe naombeni ushauri, maoni mtazamo hata kama kuna idea tofauti msaada wenu đź’ˇ
 
Kilimo cha mihogo hakihitaji mda mwingi uwepo shamba unaweza fanya kama una mtaji acha na hz habari za eti kwa vile unajenga hakuna kula nyama nyumbani world has changed unao huo uwezi na upo ndani yako weka 100% commitment hutafeli have a new experiance

Kila la kheri
 
Kweli akomae na kitabu
Haya maisha ukikomaa na kitabu peke ake utaishia kupata hela ya kula na unaweza ukakosa kabisa hela yenyewe ya kula
Also ukisubiri umalize kitabu kwanza utajikuta unamalza na age imekutupa mkono
 
Kilimo cha mihogo hakihitaji mda mwingi uwepo shamba unaweza fanya kama una mtaji acha na hz habari za eti kwa vile unajenga hakuna kula nyama nyumbani world has changed unao huo uwezi na upo ndani yako weka 100% commitment hutafeli have a new experiance

Kila la kheri
Thanks much ndugu mana haya maisha nikitegemea kitabu pekee ntaishia kupata hela ya ugali tu 🙂
 
Nipo chuo nasoma Diploma in Clinical Medicine lakini nafikiria kuanza kilimo cha mihogo maeneo ya kisarawe naombeni ushauri, maoni mtazamo hata kama kuna idea tofauti msaada wenu đź’ˇ
Kazana na kitabu acha kufikiria mambo ya kilimo na biashara, hayo masuala ya kilimo na biashara utayakuta mbeleni.
 
Back
Top Bottom