wadau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Huko Songea kuna maajabu gani mpaka Wasomali wakimbilie huko?

    Habari wanabodi! Katika taarifa ya habari ya leo wakati natazama hapa ITV kuna gari kubwa imepata ajari kule Handeni watu wa tatu wamefariki. Polisi wamefanikiwa kuwakamata wasomalia kama 15 waliokuwa wakisafiri wanaelekea Songea kwenye makaa ya mawe, sasa hapa ndio najiuliza huko Songea kuna...
  2. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Today is the big day, Lamu port inazinduliwa. Wadau kaeni mkao wa kula

    Hayawi hayawi huwa. Leo ndio siku ya kuzinduwa mradi wetu tukufu wa Lamu port. Wivu batallion mpo wapi? Kujeni mumwage povu tutapanguza.
  3. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania AliKiba amdiss Diamond Platnumz kuhusu utajiri na Forbes: Wadau wasema Sadala ni kiki ya album yake mpya

    Akielekea kuachia album yake mpya msanii wa kitambo Ali Saleh Gentamilan au Ali Kiba, amemdiss Mfalme wa Afro Pop duniani Diamond Platnumz. Lakini wadau wameusisha diss yake na promotion ya album yake mpya.
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, magoli Mawili ya 'Mipango' aliyofungwa leo Kipa wa JKT Tanzania na Yanga SC yamezingatia Goal keeping Principles Wadau?

    Hata Mimi GENTAMYCINE na Uzee wangu huu wote wa sasa sifungwi Magoli ya Kizembe kama yale aliyofungwa leo Kipa wa JKT Tanzania. Na kilichonishangaza zaidi ni kwamba pamoja na Kipa huyo wa JKT Tanzania Kufungwa leo Magoli yale Mawili na Yanga SC ukimuangalia Usoni wala haonyeshi ama Kusikitika...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wadau walalamikia uduni wa risiti zinazotolewa kwa waliopima Corona JNIA , yadaiwa hakuna control number , malipo ni cash

    Ushahidi wa tuhuma hizi huu hapa Hii ndio risiti unayopewa baada ya kulipia vipimo vya COVID 19 kwenye uwanja wa kimataifa . Mungu ibariki Tanzania .
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini yapendekeza Sheria kwa Mwanamke kuwa na Mume zaidi ya mmoja

    Idara ya Mambo ya Ndani nchini Afrika Kusini imependekeza sheria mpya ambayo itawaruhusu Mwanamke kuolewa na mume zaidi ya mmoja (polyandry) kama ilivyo kwamba wanaume nao wanaruhusiwa kuoa zaidi ya mke mmoja. =============== Polyandry is defined as a form of polygamy in which a woman has more...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Mwamuzi wa Simba na Yanga 'Mwanangu' kabisa Mwandembwa, usituangushe 'Wadau' wako wa Soka na Kijiweni Kwetu

    Kama kuna Watu ambao ama hakika wamenifurahisha ni TFF kupitia Bodi ya Ligi hasa kwa Kumpanga Mwamuzi (Referee) Mwandembwa (Mwanangu kabisa) kutoka Arusha awe 'Pilato' wa Simba na Yanga Jumamosi tarehe 8 May, 2021. Tafadhali naomba kila mwana Simba SC afanye upesi akakate Tiketi yake mapema...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kuanzisha ligi ya soka ya kugombea kombe la Chadema , nawaomba wadau mniunge mkono

    Lengo langu ni kuhamasisha michezo nchini Tanzania na baada ya muda mfupi tutafika East and Central Africa , wadhamini wa ndani na nje ya nchi wamepatikana na mazungumzo yamefika pazuri . Nakaribisha maoni ya namna nzuri ya kuendesha michuano hii ili kukidhi vigezo vya FIFA . Karibuni
  9. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya wadau kuilalamikia CWT kuiba fulana za TLP, sasa waja na muundo mwingine

    Hii ni tshet mpya inayotolewa na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) baada ya ile ya awali kupingwa na wanachama na wadau mbalimbali. Tshet ya hapo mwanzo ilikuwa ni hii hapa
  10. U

    JamiiForums Tanzania Wadau huu ni ugonjwa gani wa Kuku na unatibiwaje?

    Wadau vifaranga wangu wanaumwa midomo na macho! Inaanza kwa kutokea manundu manundu hadi yanaziba macho kama muonavyo! Naomba kujuzwa huo ni ugonjwa gani? Dawa za kuutibu ni zipi!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wadau huko kwenu hali ya mafuta ya kupikia ikoje?

    Heshima kwenu wakuu sana! Niliwahi sikia kuna meli zilizo na shehena ya mafuta ya kupikia zimeingia na siku si nyingi bei ya mafuta ya kupikia itashuka kwa maana ya kurudi kama ilivyokuwa mwanzo. Baada ya kusubiri kwa miezi karibia miwili leo nimeenda kununua mafuta na cha ajabu bei imepanda...
  12. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Samahani wadau wenzangu kwa kuteleza, haikuwa makusudi

    Wadau wenzangu PNC The Icebreaker Joseverest King_Ngwaba makaveli10 kilambimkwidu Chukwu emeka BAK Anigrain The Boss Saint Ivuga dingimtoto Kanungila Karim Van De Beek FORTALEZA tony92 Chaliifrancisco adriz Prince Kunta OKW BOBAN SUNZU DENLSON Waterloo Isanga family n.k Wakuu na wadau wenzangu...
  13. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili la pembejeo za kilimo, Rais kaongopewa na ni hatari kwa taifa

    Leo wakati Mhe. Rais Samia Suluhu wakati anaawaapisha Makatibu/Manaibu na viongozi wa Utumishi alihutubia na kuzungumzia changamoto za baadhi ya Wizara alizungumzia kwa ufupi sana Changamoto za KILIMO. Amesema kuna changamoto ya Nzige kwa majirani hili si TATIZO la MKULIMA wa Tanzania. Amesema...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Maisha yanachanganya sana wadau kila kitu kinapanda bei

    Wadau saivi Ges imepanda bei Vifurush vya simu vimepanda bei Kodi ya ardhi majengo zimepanda bei Vifaa vya ujenzi havishikiki tena Mafuta ya kula yamepanda bei Ngoja na mimi nianze kujishughulisha na CCM naweza pata neema...! Hakuna namna😁
  15. M

    JamiiForums Tanzania Utambulisho kwa wadau

    Habari zenu wananzengo, mimini mgeni hapa kijijini JF. Naomba kupokelewa nanyi wakuu. Napenda mijadala ya Siasa, mambo ya kidini pamoja na michezo. Mimi ni shabiki wa Chelsea fc. Naomba kuwasilisha.
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Nyama Tanzania yapiga marufuku uuzaji wa nyama za mafungu

    Bodi ya Nyama Tanzania imepiga marufuku uuzaji wa nyama kwa mafungu katika maeneo ya nje ya machinjio ya vingunguti kwani inahatarisha afya ya mlaji. . Hayo yamesemwa na Kaimu Msajili wa bodi ya Nyama Tanzania Bw. Imani Sichalwe alipofanya ziara katika maeneo ya nje ya machinjio ya vingunguti na...
  17. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Mna maoni gani kuhusu hili suala la uvamizi wa Al-Shababu hapa Palma?

    Habari wadau! Kutokana na vyanzo mbalimbali vya vyombo vya habari inasemekana kikundi cha watu wajulikanao kama Al-shababu wamevamia mji wa Palma. Lakini kuna nadharia mbalimbali zimeenea mitaani kwamba watu hao waliovamia Msumbiji au jamhuri ya watu wa Mozambique sio Al-shabab bali ni siasa...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa App nzuri ya muziki

    Wadau msaada nitajieni app nzuri ya music ambayo ukiidownload inaplay music ya audio vizuri na hata video music sometimes inaichange kusikika kwny audio automatically nilikuwanayo niliifuta kimakosa jina nilikuwa silijui
  19. C

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili mnasemaje wadau?

    Habari wadau, ndugu jamaa na marafiki. Naomba kuwasilisha changamoto hii mnaniambiaje katika hili. Leo nilienda kijiji fulani nje ya mkoa wa Kanda ya Kati kulikua na shughuli ya ujazaji form za hati za viwanja. Nilinunua shamba miaka kadhaa iliopita sasa mwaka jana wakaja Jiji kusaminisha na...
  20. Grand Master Dulla

    JamiiForums Tanzania Anayeijua kwa ufasaha historia ya Sayyid Othman Bin Muhammad Nur

    Jamani samahanini wadau naomba kuuliza kwa wale wakali wa QADIRIYA kuna yeyote anayeijua kwa ufasaha historia ya SAYYID OTHMAN BIN MUHAMMAD NUR wa Tunduni Mchangani Zanzibar? Kama yupo tafadhali naomba atujuze maana nimeitafuta kila sehemu lakini sijaipata wala hakuna vitabu vinavyomuelezea...
Back
Top Bottom