wabunifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Taasisi za Umma zinatangaza mashindano/kazi ya ubunifu wa nembo zao mpya kwa wabunifu halafu wanapotelea mitini na hawabadili

    Mfano mwaka 2017 Jumuiya ya Afrika Mashariki ilitangaza shindano la Ubunifu wa Nembo yake mpya kwa wabunifu mbalimbali, wa vyuoni na wa mtaani, walitangaza mshindi atapatikana mwaka unaofuata, lakini mpaka leo 2024 hawajabadilisha. Taasisi nyingine ni TPDC na TARURA
  2. J

    Kasekenya awataka TEMESA kuwa wabunifu

    Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amewataka watumishi wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) kuangalia namna bora ya kuja na ubunifu katika maeneo yao ya kazi ili kuboresha utendaji kazi wao wa kila siku. Naibu Waziri ameyasema hayo leo Tarehe 18 Machi, 2024 wakati...
  3. J

    JamiiForums Yaadhimisha Siku Ya Mwanamke Duniani kwa Mkutano na Wabunifu wa Maudhui ya Mtandaoni

    Mada: Kuwawezesha Watengeneza Maudhui: Kupinga Dhana potofu kuhusu Wanawake Kulingana na Sensa ya 2022, idadi ya Wanawake Tanzania ni 31,687,990 ambao ni sawa na 51% ya idadi ya watu. Kulingana na Ripoti ya Pengo la Kijinsia ya Mwaka 2019 iliyotolewa na Shirikisho la Mawasiliano ya Simu za...
  4. benzemah

    Rais Samia Afanya Mazungumzo na Chama cha Wabunifu Wachanga "Tanzania Startup Association"

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Tanzania Startup Association (TSA) ikiongozwa na Mwenyekiti wao Ndugu Paul Makanza pamoja na Wajumbe aliofuatana nao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Desemba, 2023.
  5. M

    SoC03 Mfumo wa kukutanisha wawekezaji na wabunifu kupitia kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC)

    Bila shaka unawafahamu marafiki zako wengi wenye mawazo makubwa ambayo hawajafanikiwa kuyafanyia kazi kutokana na sababu mbalimbali. Hebu fikiri tena jinsi mawazo yao yalivyo mazuri na muhimu lakini yamelala, wala hayatambuliki duniani, na unaweza kudhani hayapo kabisa. Sababu zinazopelekea...
  6. Ojuolegbha

    Katibu Mkuu Yakubu asisitiza watendaji sekta ya sanaa kuwa wabunifu katika utendaji kazi

    Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amewasisitiza watendaji na watumishi wa taasisi chini ya wizara hiyo kuwahudumia wadau wa sekta ya Utamaduni na Sanaa kwa wakati ili kuleta tija katika utendaji kazi. Katibu Mkuu Bw. Yakubu amesema hayo Juni 20, 2023 jijini Dar...
Back
Top Bottom