Utafiti uliofanywa na taasisi ya #Infotrak umeonesha Siku 100 za #Uwajibikaji wa Rais Ruto kwenye Masuala ya Chakula haujawaridhisha Wananchi na hivyo kumuweka kwenye wastani wa 40%.
Ruto amekubalika zaidi kwa Wananchi kwa wastani wa 56% baada ya kuanza kutolewa Mikopo ya Tsh. Bilioni 947.4 kwa...
Ushirikishwaji wa vijana katika kilimo imekuwa mada kuu hivi karibuni na imeibuka katika ajenda ya maendeleo, kwani kuna wasiwasi unaokua ulimwenguni kwamba vijana wamekata tamaa na kilimo.
Huku vijana wengi - karibu 85% - wanaishi katika nchi zinazoendelea, ambapo kilimo kinaweza kutoa chanzo...
Chakula salama ni miongoni mwa vichocheo muhimu vya Afya njema. Vyakula visivyo salama ni chanzo cha magonjwa mengi. Kila mmoja wetu wajibu katika kuhakikisha usalama wa Chakula katika hatua zote za mnyororo wa thamani, kuanzia kinapozalishwa hadi kinapomfikia mlaji wa mwisho
Mbali na madhara...
Inakadiriwa Watu Milioni 600 (Takriban Mtu 1 kati ya 10) huumwa baada ya kula Chakula kisicho salama, ikielezwa 420,000 hupoteza maisha kila Mwaka
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Watoto chini ya Miaka 5 huathirika na madhara ya Chakula kisicho salama kwa 40% ikikadiriwa kwa mwaka...
Ni jambo la heshima sana kwa nchi kufikia hatua hii. USALAMA wa CHAKULA ni suala linaloangaziwa duniani kote. Nichukue fursa hii kuipongeza serikali ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
KAZI IENDELEE.
=====
Nairobi. African countries are becoming food-secure by lowering food prices, improving...
MAHINDI YA TANZANIA NI SALAMA.
Tanzania na Kenya Zimalize Mzozo Kidiplomasia - Zitto Kabwe
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe ameitaka Serikali ya Tanzania kukaa mezani na Serikali ya Kenya kumaliza mzozo wa Soko la Mahindi ya Tanzania nchini Kenya. Ndugu Zitto amesema...
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetoa wito wa fedha zaidi kwa ajili ya juhudi zake za kupambana na njaa katika nchi za kusini mwa Afrika ambazo watu wengi wanakabiliwa na ukosefu wa usalama wa chakula kutokana na athari za mabadiliko ya tabianchi na hali mbaya ya kiuchumi.
Taarifa...
December 30, 2019
Tanzania
Hali ya upungufu wa mavuno tishio la Usalama wa chakula Tanzania 2020 - 2021
Changamoto kubwa baada ya mafuriko na mvua nzito zisizo koma kukumba maeneo mengi ya Tanzania ni suala la usalama wa chakula kupitia akiba ya mazao kama mahindi, mpunga, mihogo, ulezi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.