ujenzi wa reli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Kadogosa: Kwenye Kujenga reli ya kuunganisha nchi za Afrika Mashariki, Rais Samia kawazidi Wajerumani

    Taarifa hii nzuri imetolewa na Mkurugenzi wa Shirika la Reli la Tanzania Zaidi soma hapa: "Kujenga reli ya kuunganisha nchi za Afrika Mashariki , Wajerumani hawakuweza na hawajazungumza sababu, akaja Mkapa lakini haikuwezekana lakini akaja Rais Samia" - Masanja Kadogosa, Mkurugenzi Mkuu TRC.
  2. Roving Journalist

    TRC yaendelea na zoezi la utwaaji ardhi kupisha ujenzi wa reli ya SGR kipande cha Tabora - Isaka

    Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea na zoezi la utwaaji ardhi kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kiwango cha kimataifa - SGR kipande cha nne Tabora - Isaka kwenye vijiji takribani tisa vilivyopo wilayani Nzega mkoa wa Tabora hivi karibuni Oktoba, 2023. Mthamini kutoka TRC Bw. Valentine...
  3. JanguKamaJangu

    Wakati wa ujenzi wa Reli ya TAZARA (1968 – 1975) zaidi ya Wafanyakazi 160 walifariki kwa ajali na magonjwa

    Wakati wa Ujenzi wa Reli ya TAZARA zaidi ya Wafanyakazi 160 walifariki kwa ajali na magonjwa, kati yao Wachina walikuwa 64. Ujenzi ulihusisha Vibarua na Wahandisi 38,000 kutoka Tanzania na Zambia, pia timu ya Wataalam na Wahandisi 13,500 kutoka China. Reli hiyo iliyojengwa kati ya Mwaka 1968...
  4. Stephano Mgendanyi

    Hakuna Hasara Ujenzi wa Reli ya SGR Tabora - Kigoma

    MHE. ATUPELE MWAKIBETE: HAKUNA HASARA UJENZI WA RELI SGR TABORA - KIGOMA SERIKALI kupitia Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Fred Mwakibete imefafanua kuwa hakuna hasara yoyote iliyosababishwa na ununuzi wa mkandarasi wa ujenzi wa njia ya reli ya Tabora-Kigoma, kwa kuwa ulifuata taratibu...
  5. N'yadikwa

    Ujenzi wa Reli ya Dar - Ruvuma unaopangwa utafaa sana. Uanze mapema

    Nimesoma kwenye Ripoti ya Ukaguzi ya CAG Kichere. EXTRACT YA RIPOTI INASEMA "Kampuni ya Reli Tanzania (TRC) kama wakala wa utekelezaji wa mradi, iliingia makubaliano na mkandarasi mshauri kwa mkataba Na. PA/003/2013-13/C/15 kwa ajili ya upembuzi yakinifu na muundo wa awali wa ujenzi wa reli...
  6. ChoiceVariable

    Serikali Imetangaza Tenda ya Ujenzi wa Reli ya Kuunganisha Tanzania na Burundi

    Serikali Kupitia Wizara ya ujenzi imetangaza tenda ya ujenzi wa Kipande cha reli Kati ya Uvinza-Musongati-Gitega ambayo inaunganisha Nchi za Tanzania na Burundi. Kipande Cha mwisho Cha Sgr ya kati kilichosalia ni Kaliua-Mpanda-Karema Port. Hongera sana Awamu ya 6 kazi inapigwa kweli kweli...
Back
Top Bottom