Kadogosa: Kwenye Kujenga reli ya kuunganisha nchi za Afrika Mashariki, Rais Samia kawazidi Wajerumani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,749
218,338
Taarifa hii nzuri imetolewa na Mkurugenzi wa Shirika la Reli la Tanzania

Zaidi soma hapa:

"Kujenga reli ya kuunganisha nchi za Afrika Mashariki , Wajerumani hawakuweza na hawajazungumza sababu, akaja Mkapa lakini haikuwezekana lakini akaja Rais Samia" - Masanja Kadogosa, Mkurugenzi Mkuu TRC.


Screenshot_2024-03-25-11-50-07-1.png
Screenshot_2024-03-25-11-50-29-1.png
 
Kadogosa ni kati ya wakurugenzi wa mashirika wateule wa Magu ambao bado hajaguswa na "Mama" pamoja na sarakasi kibao hapo TRC.

Haya mapambio ni kule kutokujiamini tu.
 
Back
Top Bottom