Ninaandika na kuuza Proposal za Biashara, Miradi na Idea mbalimbali.

musa_ali

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
377
386
Wakuu za siku? Natumaini wote hamjambo.

Mimeona niseme hili, linaweza kunufaisha watu kadhaa ambao either wana mtaji au wanahitaji professional Documents za kuombea hela (funding & grants), au hata za kushindania Tender flani, etc.

Ni mwajiriwa wa muda mrefu kwenye Kampuni ambayo kazi yetu ni kuandika Proposal za miradi, mashirika na taasisi mbalimbali, zingine tunauza. Nimeona na mimi naweza kuifanya kama freelancer.

Kama unataka Proposal ya kuanzisha labda Shirika la Watoto, Biashara au kwenda Serikalini, tuwasiliane. Bei ni kutokana na ukubwa wa Proposal, yaani wingi wa Kurasa; from 10, 20, 30 or even 50 pages.

Proposal inakuwa sio tu ni Original na customized as per your vision and goals, bali inakuwa well designed ikihusisha na Infographics, etc. Bei ni kuanzia elfu 50, laki, etc...though bei halisi ya Proposal huanzia laki 3.

Mwenye interest ani PM. Ntakutumia samples, na uwe serious, sio mambo ya stori nyingi. Wewe unaniambia unataka Proposal au Memorundum, etc...nakupa list ya content nazohitaji, tunaelewana bei..Kazi inafanyika.
 
Mkuu nifafanulie hapa...Bei inatokana na ukubwa wa proposal! yaani wingi wa kurasa ....kwa hiyo wingi wa ukurasa=Proposal kubwa =Bei kubwa !!!??
 
Back
Top Bottom