The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Serious Issue
Wiki kama mbili hivi zilizoisha nilienda nyumbani kutembelea wazee, kama mjuavyo mapokeo ya huko Nanjilinji huwa ni yenye furaha na vifijo, ilikuwa vivyo hivyo kwangu mie
Siku ya pili tokea mapokeo yangu, kulikuwa na sherehe ya birthday kwa rafiki wa Ma Mdogo wangu, basi bhana...
Nilijikuta niko kwenye nyumba yenye njia kama barabara ya kwenda underground floor (basement hivi). Kuta za hiyo nyumba zilipakwa rangi ya yellow (njano) na nilivyopiga kama nusu mzunguko niliona ukutani kulikuwa na picha ya nyoka mkubwa kichwa kama kilikuwa juu kama kwanye ground-floor kwa vile...
Kwa anayetaka kujua Uwezo wake atafute ile Video ya Kanda Bongoman ya Live aliyopiga nchini Kenya kabla aliyekuwa Rais wa Kenya Daniel Arap Moi kumpa Saa 24 Kanda Bongoman aondoke nchini Kenya kwakuwa alisababisha Wakenya wasiende Kazini na wakawa wanapigana Vikumbo kuingia katika Shows zake...
Yaani nimeona sendozi aina ya Teva inauzwa instagram 250,000! Nimepita huku mtaani nikazikuta kwa mmachinga, mpya kabisa. Nimempa elfu ishirini akapokea kiroho safi maisha yanaendelea!
Moja kwa moja..
1. Kwa nini nawalaumu Hamas ?
Sikatai ukweli kwamba Raia wa Palestine wameishi kwa mateso miaka mingi chini ya utawala wa Wazayuni,wakiuwawa kunyimwa haki za msingi nk na nakubali kwamba wanayo haki ya kupambana katika kujikomboa na madhila wanayopitia.
Ninapowapinga ni njia...
TANESCO imeshindwa kabisa kujiendesha kwanza sehemu kubwa ya nchi iko gizani umeme unakatika Zaid ya masaa manane kwa siku na kuna sehemu transformer imeungua watu wako gizani wiki ya 3 hiii sasa na hakuna hata matarajio,na kuna maeneo watu wanakatiwa umeme Zaid ya saa 24 na bado ukirudi...
Yaani ukikutana na Daktari wa Mwananyamala na Kumuuliza Mkeo akijifungua ni lini uanze Kufanya naye mapenzi utajibiwa baada ya Siku 40 au 60.
Ukiwauliza Madaktari wa Amana na Temeke watakuambia baada ya Miezi Mitatu hadi Sita. Yaani kila Daktari anashauri anavyojisikia na Alichokikariri Chuo...
Wanabodi salaam
Watoto wa darasa la nne wamefanya mitihani yao hapo Oktoba na sasa wazazi na walezi wanajiandaa kwa ngwe ya darasa la tano.
Lakini wanawezaje kufanya maandalizi bila kufahamu matokeo ya vijana wao?
Serikali izingatie kutoa matokeo kwa wakati tafadhali
Wakuu, nimekua disappointed na mtu ambaye tuko very close; nilikua namchukulia kama ndugu yangu wa damu. I was very fond of him yan katika circle yangu ya watu wachache, nilionichagulia, na yeye nilikua namconsider. Dah, gafla bin Vu akanifanyia kitu ambacho nikarealize kumbe mimi ndo nlikua...
Kuweka kiingilio bure mechi ya Yanga kunaongeza sana watazamaji watakaoenda kwenye mechi ya Simba. Tena kipindi hiki ambacho mashabiki wa Simba walirudi nyuma kidogo, hii ni boost kubwa sana.
Yule mshabiki aliyekuwa alipe 3000 au 5000 kuangalia mechi ya Yanga ameshajihakikishia anaingia bure...
Kuna Kipindi fulani cha Redio nakisikiliza sasa nz na nikimsikiliza Kiumakini Mtangazaji na Mmoja wa Mchambuzi haraka sana nagundua ni Nusu Wanaume na Nusu Wao watupu.
Wazazi tukomae mno na Watoto wetu wa Kiume na tukiwagundua tokea Udogoni wana Dalili za Nusu Wanaume na Nusu Wao basi haraka...
Ni wakamilifu? Sijasema hivyo.
Isitoshe, hakuna taasisi ya kibinadamu iliyo kamilifu!
Pamoja na madhaifu yao, wana mengi sana mazuri. Shrikisha🙏
Usiandike madhaifu, bali mema tu. Elezea matukio yaliyowahi kufanywa na Polisi wa Tanzania, iwe ulishuhudia au umesimuliwa na mtu mwingine, ambayo...
Jamaa anapenda sana SIFA kwa wanawake. Jamaa hakuna post yake au video clip
itakayoeleza mema ya mwanaume. Yeye clip zake zote ni kumponda mwanaume dhidi ya Mwanamke. Yaani utafikiri hiyo taaluma yake ya Saikolojia ni kwaajili ya Mapungufu ya Wanaume dhidi ya wanawake. Kumbe hajui pia saikojia...
Katika press ya kabla ya mechi ya Yanga vs Mtibwa, Kocha Gamondi alisema ukweli mchungu ambao inawezekana wanachama, mashabiki na wapenzi wa Yanga wangekuwa wanajua ngeli na ung'eng'e wakaweza kumuelewa, angekuwa na wakati mgumu sana.
Gamondi alianza kwa kuomba msamaha kwa wale ambao...
Kwanza kabisa kuna “Upungufu wa Wanaume Waliofanikiwa” lakini hakuna “Upungufu wa Wanawake Wazuri” tokea dunia iumbwe.
Pili wanawake wazuri au wenye mvuto huwa wanaona wamezaliwa na duka/supermarket tyr yenye bidhaa moja renewable hapo kati. Kwa hio moja kwa moja anaanza kusupply mara tu...
Hakuna salamu, nimekasirika sana
Yaan watu tunapambana kuishi bado tunaumwa maugonjwa ya ajabu yasio na tiba, tuna michepuko 3 na ndoa 2, january (njaanuaru) inakuja watoto lazima waende shule, kabla ya njanuary hizi sherehe wategemezi wote wanakuangalia ww. Halafu unapambana nayo yote unakuja...
Makanisa ya mazingaombwe kipaumbele huwa ni kufanya mazingaombwe ambayo watu wengi wenye imani nyepesi huona ni miujiza, neno lina nafasi ndogo sana.
Wachungaji wa hayo makanisa wamegeuza imani nyepesi za waumini kujikusanyia utajiri wa kutisha, Mafuta ya kuitwa ya upako yanatengenezwa hapa...
Zamani nakumbuka ilikuwa mchawi nguvu tu, chochote utakachopanda kinakubali na kinafika
Siku hizi sasa mkulima ana vikwazo na maadui kibao! Hebu cheki mtu unalima mazao yako kisha kuna
Viwavi
Panya
Njiwa
Ndege
Kware
Panzi
Mchwa
Vibaruti
Beetle
Serikali
Majongoo
Konokono
Halmashauri
Mafuriko...
Habari za weekend wanabodi.
Moja kwa moja kwenye mada. Ni asubuhi nawahi kazini, nikiwa mmoja wa viongozi idara ya mauzo, pickup niliyopewa na ofisi inasumbua iko juu ya mawe.
Natoka nje jirani na ninapoishi kuna vijana wa bodaboda. Wanaponiona wananichangamkia na napanda mojawapo. Safari...
Kila mtu anawaza upigaji tu, yaani vichwa vimejaa ni namna gani fursa ije ili mtu apige.
Huko kwenye ofisi za umma pamejaa mi-ungu watu, kuanzia mfagizi hadi ma-boss!
Badala ya kufanya kazi, watu wamejaa majungu, kuoneana wivu na kuchongeana.
Watu wanafiki kupitiliza. Usoni wanakuchekea kumbe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.