Tiketi bure mechi ya Yanga inaenda kuifaidisha sana Simba

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
5,129
7,897
Kuweka kiingilio bure mechi ya Yanga kunaongeza sana watazamaji watakaoenda kwenye mechi ya Simba. Tena kipindi hiki ambacho mashabiki wa Simba walirudi nyuma kidogo, hii ni boost kubwa sana.

Yule mshabiki aliyekuwa alipe 3000 au 5000 kuangalia mechi ya Yanga ameshajihakikishia anaingia bure, sasa ataenda kuitumia hiyo pesa yake kununua tiketi kwenye mechi ya Simba. Mechi ya Simba vs Wydad ni ya kikubwa, hakuna mwanayanga atataka kuikosa. Halafu ni kama ananunua tiketi moja kuangalia mechi mbili. Tena nasikia Al Hilal anacheza siku hiyo hiyo, kwa hiyo tiketi moja unaangalia mechi tatu halafu pesa yote inaenda kwa Simba.

Hayo masharti ya jezi hawana uwezo wa kuyatekeleza.

Kwa kuwakumbusha tu Yanga wahakikishe wanatimiza masharti ya CAF ya kutenga sehemu maalumu kwa ajili ya mashabiki wa Medeama. Msije kuwa mnatumia hii fungulia mbwa kama chaka la kuwatisha mashabiki wa Medeama wanaopanga kuja uwanjani.
 
Mzee Rage alikuwa sahihi......umeandika Upumbavu

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Kuweka kiingilio bure mechi ya Yanga kunaongeza sana watazamaji watakaoenda kwenye mechi ya Simba. Tena kipindi hiki ambacho mashabiki wa Simba walirudi nyuma kidogo, hii ni boost kubwa sana.

Yule mshabiki aliyekuwa alipe 3000 au 5000 kuangalia mechi ya Yanga ameshajihakikishia anaingia bure, sasa ataenda kuitumia hiyo pesa yake kununua tiketi kwenye mechi ya Simba. Mechi ya Simba vs Wydad ni ya kikubwa, hakuna mwanayanga atataka kuikosa. Halafu ni kama ananunua tiketi moja kuangalia mechi mbili. Tena nasikia Al Hilal anacheza siku hiyo hiyo, kwa hiyo tiketi moja unaangalia mechi tatu halafu pesa yote inaenda kwa Simba.

Hayo masharti ya jezi hawana uwezo wa kuyatekeleza.

Kwa kuwakumbusha tu Yanga wahakikishe wanatimiza masharti ya CAF ya kutenga sehemu maalumu kwa ajili ya mashabiki wa Medeama. Msije kuwa mnatumia hii fungulia mbwa kama chaka la kuwatisha mashabiki wa Medeama wanaopanga kuja uwanjani.
lengo makolo msiingie kwenda kuvunjwa viti halafu tulipishwe sie,hizo mbwe mbwe zingine ni mawazo yako mgando
 
Kama ndiyo mawazo yenu hayo wajanja watakachofanya ni kuja kuishangilia Medeama wakijua mkijichanganya mkawadhuru tu wanaenda kumaliza umaskini wao kwa migongo yenu. Mtabaki mnalialia ooh ni mashabiki wa Simba wamevaa jezi ya Yanga kumbe mnafanya mambo kwa mihemko
 
Back
Top Bottom