Kilimo kinatesa sana siku hizi hebu wataalamu nisaidieni tatizo hili kwenye mazao ya chakula

Trainee

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
2,219
2,825
Zamani nakumbuka ilikuwa mchawi nguvu tu, chochote utakachopanda kinakubali na kinafika

Siku hizi sasa mkulima ana vikwazo na maadui kibao! Hebu cheki mtu unalima mazao yako kisha kuna
Viwavi
Panya
Njiwa
Ndege
Kware
Panzi
Mchwa
Vibaruti
Beetle
Serikali
Majongoo
Konokono
Halmashauri
Mafuriko
Mbuzi
Kuku
Mvua
Jua
Ukungu
Na kadhalika

Sasa bora ya hao wengine wote maana imefikia kama tumezoea tayari na tunajua namna ya kupambana nao, shughuli iko kwa mdudu panzi na ndiye aliyenisukuma kuandika ujumbe huu...

Mdudu huyu (wadudu hawaa) ni hatari kwani yeye anadili na kimmea kile kinachochomoza anakata kwa juu. Kila mazao ya chakula niliyojaribu kupanda mwendo ni huo wanayanyofoa kwa juu wakishaona yameota tu!

Mazao yenye amani kidogo ni jamii ya monokotiledoni yaani mahindi, mtama na the like lakini mbaazi sijui alizeti, njugu, kunde, panzi wanapita nayo yote!

Naombeni msaada kuhusu namna ya kupambana na hawa panzi (wenyeji wanawaita toyo) maana huko tuendako ni hatari watu wanahamasika sana kulima chakula lakini vikwazo vingi sana vinawarudisha nyuma

Afisa kilimo yupo bize kutangaza biashara yake ya pembejeo za kilimo na mifugo!
 
Pole sana Mkuu.

WAKUU WANAKUJA KUKUPA MIONGOZO, TULIA HAPOHAPO (USIONDOKE).

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Wanaokuasumbua nahisi ni hawa hapa

Elegant grasshoppers wenyewe hawali monocot bali hushambulia zaidi legumes akina maharage

Hao ni wadudu wanaoruka hivyo ili kuwaua usitumie contact insecticides bali tumia systemic insecticides kuweza kuwashinda
 
Mkuu mpe maelezo kama layman
Usimpe maelezo kama nae ni afisa ugavi

Hii itasaidia wengi
 
Back
Top Bottom