sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Madai ya watu kuishi Hifadhi ya Ngorongoro na wanyama pori kuwa ni kuvutia utalii ni ujinga

    Hivi karibuni kumezuka mijadala mingi juu ya uwepo wa zaidi ya watu zaidi ya laki Moja kuishi hifadhi ya Ngorongoro kuwa ni njia Moja wapo ya KUVUTIA UTALII ni ujinga na upuuzi usio vumilika hata kidogo. Tumeshudia Waandishi wa habari Maulid Kitenge na Oscar Oscar Mzee wa Kaliua wakiwa...
  2. J

    JamiiForums Abdulla Ali Mwinyi: Ninagombea nafasi ya Naibu Spika, tuziache mamlaka husika zitimize taratibu kisha Wabunge wapige kura

    Mgombea wa nafasi ya Naibu Spika mh Abdulla Ali Mwinyi amesema yeye hana maneno mengi zaidi ya kumwachia Mungu mwingi wa rehema aweze kumvusha. Mwinyi amewataka waandishi wa habari waziache mamlaka husika ndani ya chama zitimize majukumu yake na kisha wabunge wakamilishe mchakato kwa kupiga...
  3. kavulata

    JamiiForums Uliemteua akikusifia sana gutuka

    Hakuna asiyependa kusifiwa, lakini kusifia sana kitu ni sawa na kukijaladia ili rangi yake halisi isionekane na kujulikana. Sifa nyingi ni sawa na ganzi inayomfanya mtu asijisikie maumivu akikwaruzwa. Sifa muhimu yenye maana kwa aliyekuteua ni kufanya vizuri sana kwenye kazi alizokutaka...
  4. J

    JamiiForums Rais Samia awataka RC Hapi na Wakuu wa Wilaya zote Mara wajitathmini kwa Uongozi wao mbovu

    Kutokana na kukwama kwa miradi mingi mkoani Mara Rais Samia amesema anakwenda kuchunguza mwenendo wa viongozi wote wa mkoa na kwa kipindi hicho cha uchunguzi amemtaka Mkuu wa Mkoa na Wakuu wa Wilaya wote wajitathimini kabla ripoti haijatoka. Kwa upande wa Wakuu wa idara, Rais Samia amesema...
  5. Jumanne Mwita

    JamiiForums Nawashukuru sana wana Jamiiforums, mipango ilianzia hapa na hoja na mawazo niliyapatia hapa hakika tunaishi kwa upendo sana!

    Kwanza kabisa naomba nitoe shukrani na samahani nyingi kwa kuchelewa kutoa shukrani kwa msaada mlionipatia hapa na nimerudi hapa pia hakika hapa ni shule na nisehemu ya kujifunza na kuelimika zaidi ya hapo ni mahala ambapo hutakiwi kuishi kiubinafsi mtu anapoleta hija au maoni tusiishie kumcheka...
  6. M

    JamiiForums Miaka ya themanini Wazo Hill, Bunju, Boko na Tegeta kulikuwa na swala, digidigi na sungura wengi sana. Sasa hivi hawapo

    Nakumbuka tukiwa wadogo miaka ya themanini kulikuwa na mapori makubwa sana kuanzia Tegeta, Bunju, Mbezi Beach, Wazo Hill, Kunduchi, Mbweni, Boko. Kulikuwa na swala na sungura wengi sana. Siku moja mimi na marehemu mjomba wangu tulienda Madale kuwinda Swala. Hili suala la Ngorongoro lichukuliwe...
  7. B

    JamiiForums Video ya ng'ombe, Pundamilia na Binadamu Ngorongoro itufundishe Maasai wana haki ya kuishi

    Maulid Kitenge na Mzee wa Kaliua mmefanya Kubwa sana kutetea uhai wa watoto wa Kimasai. Natambua Binadamu wabinafsi awatawaelewa na Binadamu wanafiki watawaambia na kuwadanganya kwamba Masai anatakiwa kuishi na wanyama Ngorongoro kama kivutio Cha utalii na kwamba Masai ni Moja ya factor...
  8. M

    JamiiForums Je, kutoweka na kutoonekana kwa Paul Makonda si Uthibitisho kuwa TISS kuna Mapungufu makubwa na DG Msuya afutwe Kazi upesi sana?

    Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Watu wa TISS hasa DG Diwani Athumani Msuya hajui au hana Taarifa za alipo Mwalimu wa Uhalifu, Mateso, Uporaji, Chuki kwa Matajiri, Uvamizu, Mdanganyifu na Msingizia mabaya Watu Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite ) Rais Samia ulishashauriwa mno Kumuondoa...
  9. RRONDO

    JamiiForums Kuna gari ukiendesha unaonekana 'muhuni', inasikitisha sana

    Yaani kuna gari ukiendesha hata kama Una busara zako unaonekana muhuni tu,hasa zikiwa zenye tinted ukishuka ndio unaona aah kumbe blaza! Gari ambazo watu huzichukulia vibaya ni kama Altezza,Subaru hasa Impreza na Forrester,Crown,IST kwa wenzetu SA VW Polo
  10. sky soldier

    JamiiForums Kwenu watoto wa kiume, Mapenzi ya baba kwako utayatambua ukianza kujitegemea na kuhama kwenu, huenda utaona hata yale ya mama hayafikii

    Mama ni moyo ana mapenzi ya dhati yaliyovuka mipaka kwa mwanae, leo hii hata mama yako ukimwambia unataka kuwa msanii hata kama hujui kuimba atakupa sapoti, mapenzi haya kwa mtoto kuna muda huwa yanapofusha kushindwa kuona uhalisia. Baba ni kichwa, mlinzi na mtafutaji, leo hji ukimwambia...
  11. M

    JamiiForums Hongereni sana GSM Yanga SC kwa kuamua kuwapokea Mbeya City FC

    Mchezaji (Mshambuliaji) Paul Nonga (Mwalimu Kitaaluma) na mwana Yanga SC Kindakindaki ambaye uliifunga Simba SC Mbeya hadi Kushangilia kwa Kuizunguka Mbeya yote hongera mno kwa kuwa Mratibu Mkuu wa Kuchukua Pesa za GSM Yanga SC na kuwapa Wachezaji wenzako wa Mbeya City FC ili Jumamosi mlegeze na...
  12. kacnia

    JamiiForums First love...

    Ni hisia ya pekee sana pale unapo tambua kuwa umependa kwa mara ya kwanza, wengine hupenda ukubwani na wengine katika kipindi cha makuzi yao hasa wanapo balehe. Niwapongeze wote mlio fanikisha kuwapata wapenzi wenu wa kwanza kabisa mlio wapenda, kwa upande wangu mimi haya ndio yaliyonikuta kwa...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Mama ni cheo kikubwa sana

    Familia inasubiri chakula mama anapika na ananyonyesha. Nani kama mama.
  14. Idugunde

    JamiiForums Inafikirisha sana, kwa utajiri wa mali na biashara anazofanya Mbowe ni wa kuchangiwa? Au ndio kuumizana tu Kichademachadema?

    Mwenyekiti wa CHADEMA anasadikiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai. Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipoi ya kesi inayomkabili? Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia...
  15. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Siasa inahitaji sana akili: Angalia alichofanya Rais Obama baada ya kuingiliwa alivyokuwa anatoa hotuba yake

    Mara ya kwanza, alikuwa akizungumzia suala la uhamiaji nchini Marekani Mara ya pili, aliwazuia wafuasi wake wasimzomee mfuasi wa Trump aliyekuja kumpinga Evaluate your battles carefully, sometimes peace is more important that being right.
  16. N

    JamiiForums Siuku hizi Rais wetu amekuwa na sura ya ukali sana!

    Bahati mbaya nimeshindwa kuziweka picha zake hapa. Lakini nimechunguza tangu Ndugai amkorofishw hacheki cheki tena na amevaa sura ya ukali. Ningeshauri asiwe hivyo tunataka awe na sura ya ucheshi angalau! Kuongoza kupo hiyo hata usiotegemea wakudissapoint inaweza ikatokea wakakufanyia hivyo so...
  17. Red Giant

    JamiiForums Mbona gharama za kununua nyumba Tanzania zipo juu sana?

    Huwa napitagagapitaga kwenye app ya jiji kuangalia mijengo. Bei ya mijengo ni kubwa inatisha sana. Hasa Dar na Arusha. Nini kinasababisha hivi? Ni uhaba wa nyumba, uhaba wa maeneo mazuri au ukosefu wa usalama kwa baadhi ya maeneo? Mikocheni na Masaki ndiyo wanaongoza kwa gharama. Unakuta nyumba...
  18. MK254

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Rwandair hujaribu sana, siku zote wapo kwenye kumi bora Afrika, licha ya kainchi kenyewe saizi ya mkoa

    Hapa inabidi kuwasifia Wanyarwanda, kainchi kadogo mithili ya mkoa lakini kanalambisha vumbi majitu makubwa Afrika, Rwandair imeshikilia namba saba, huku Kenya Airways ikiwa namba tatu, Ethiopia wameongoza. =================== Skytrax has revealed the World's Top 100 Airlines for 2021 and...
  19. N

    JamiiForums Ya Wakili Kidando, Luteni Urio, Katiba ya Mbowe na siku ya kuzaliwa yametufariji sana juma hili

    Mambo ni mengi kweli kweli. Juma hili bhana imekuwa na furaha na masikitiko sana kwa watu wengi kati yetu. Kwa kifupi ninamwonea huruma sana Wakili Kidando na Timu yake kwani matarajio yao kushinda hii kesi KWA HAKI ninaamini yamefifia sana. May be Moses Lijenje ndiye shahidi tu tunayemtegemea...
  20. May Day

    JamiiForums Msaada Wataalamu wa Kiswahili, matumizi ya haya maneno ambayo hunichanganya

    Lipi ni neno sahihi kwa matumizi. Maneno kama Yuko na Yupo, Wapo na Wako, Sipo na Siko, Tupo na Tuko, Uko na Upo. Baba yuko nyumbani au Baba yupo nyumbani. Kesho sipo nitakwenda Moshi au Kesho siko nitakwenda Moshi. Leo tupo Kanisa la Arusha Mjini au Leo tuko Kanisa la Arusha Mjini. Kaka...
Back
Top Bottom