Kwanini Mpiga Solo Gitaa hatari Nene Tchacou hakuimbwa sana kama Wenzake Diblo Dibala na Dally Kimoko?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,573
108,930
Kwa anayetaka kujua Uwezo wake atafute ile Video ya Kanda Bongoman ya Live aliyopiga nchini Kenya kabla aliyekuwa Rais wa Kenya Daniel Arap Moi kumpa Saa 24 Kanda Bongoman aondoke nchini Kenya kwakuwa alisababisha Wakenya wasiende Kazini na wakawa wanapigana Vikumbo kuingia katika Shows zake Uwanja Mkubwa na katika Kumbi kubwa za Jijini Nairobi.

Mpiga Solo Gitaa huyu Nene Tchacou alifanya Balaa Kubwa na hasa katika Wimbo pendwa na Uliotamba sana wa Inde Monie ambao wakati Unarekodiwa aliyepiga Solo Gitaa alikuwa ni Mwamba Dally Kimoko.

Na huyu huyu Mpiga Solo Gitaa Nene Tchacou pia alipiga na Yondo Sister na ule Wimbo mtamu wa Bazo Solo lile tamu alilikunguta Yeye na hata Msanii Alain Kounkou na Kundi la Soukouss Stars bado Nene Tchacou ndiyo alikuwa Mpiga Gitaa la Solo wao.

Ana Sura ya Kike ila ni Hatari mno.
 
Binafsi namuona ni soloist bora baada ya Dally Kimoko “King” hapa duniani na hususani kwenye Congolese music scene!!

Haikuwa na haja ya kuimbwa au kutajwa kwenye nyimbo alizohusika maana alipopewa jina la Tchakou yaani “kasuku” sababu gitaa lake liliongea lenyewe. Kitu cha ziada alichowazidi Dally na Diblo ni uwezo wa kupiga gitaa zote 3 kwa ufasaha wa hali ya juu. Pia alikuwa ni music arranger bora sana, jaribu kusikiza wimbo wa Massapa wa Alain Kounkou utajua uwezo wake hasa namna aliyopangilia rhythm ya nyimbo nzima.

Watu waliomtaja sana kwenye tungo mbalimbali alizoshiriki ni msanii mwenye vipaji vingi kuliko wote ndani ya Soukous Stars namuongelea “SHIMITA EL DIEGO” na atalaku / animator bora zaidi katika Congolese music scene yaani “3615 Code Niawu” au “Cherry Niawu” au “Papa na Renzo”

RIP NENE TCHAKOU “Papa na Melody”.

GENTA hebu sikiliza solo ya Muchana.

Masahihisho: Kwenye Bazo solo guitar lilipigwa na Dally Kimoko.
 
Aliyeimbwa kwenye Inde Monie ni Dally Kimoko.
Mbele ya huo Wimbo Nene Tchacou aliimbwa.... Tchacou.... Tchacou.....Bambaaaaa.....Ooooooou.....!! Uweke usikie na Ujiridhishe..

Aliimbwa kwakuwa alipiga Gitaa la Rythm katika huo Wimbo baada ya Kanda Bongoman kumkosa Mpiga Gitaa la Rythm Bingwa Congo DR nzima Lokasaa ya Mbongo ambaye sasa ni Marehemu baada ya Kufariki dunia mwaka huu kama sijakosea.
 
Daah! Usiniambie Aisee! Ile mikwaju matata ya Alain Kounkou kumbe solo alikuwa anacharaza Tchacou mwenyewe! Hii ni Mpya kwangu kujua. Ale..Ale..Ale..Ale...Alain Kounkuuuu...motema ya Tchacou...eee.
 
Ebwana wewe mdau umenifurahisha sana na hii comment Yako . Muda mrefu nishasikia hili jina "Code Niawu" likitamkwa ila sikujua hasa anafanya nini hasa kwenye bendi. Sasa naelewa
 
Kapiga mno Gitaa la Solo na Alain Kounkou.
 
Ebwana wewe mdau umenifurahisha sana na hii comment Yako . Muda mrefu nishasikia hili jina "Code Niawu" likitamkwa ila sikujua hasa anafanya nini hasa kwenye bendi. Sasa naelewa

Best atalaku/ rapa kwenye congoless music ni kati ya watu watano walioshirikishwa kwenye project nyingi: Dally Kimoko, Lokassa ya , Ngouma Lokito, Mavungu Malanda na 3615 Code Niawu.

Huku kwenye waimbaji anashikiria Luciana Demingongo.
 
Mbele ya huo Wimbo Nene Tchacou aliimbwa.... Tchacou.... Tchacou.....Bambaaaaa.....Ooooooou.....!! Uweke usikie na Ujiridhishe..

Aliimbwa kwakuwa alipiga Gitaa la Rythm katika huo Wimbo baada ya Kanda Bongoman kumkosa Mpiga Gitaa la Rythm Bingwa Congo DR nzima Lokasaa ya Mbongo ambaye sasa ni Marehemu baada ya Kufariki dunia mwaka huu kama sijakosea.

Hapana kwenye hii album rhythm guitar alipiga Mimi Kazidona ( nyimbo zote sita).
Nene alicheza solo kwenye Isambe, Frere Soki na Yesu Christo.
Wakati Dally alicheza solo kwenye Monie, Kadhi na Wallow.
 
Aisee! Ngoja niisikilize Tena Wallow. Ile guitar mule ndani jamaa aliua.
 
Mbele ya huo Wimbo Nene Tchacou aliimbwa.... Tchacou.... Tchacou.....Bambaaaaa.....Ooooooou.....!! Uweke usikie na Ujiridhishe..

Aliimbwa kwakuwa alipiga Gitaa la Rythm katika huo Wimbo baada ya Kanda Bongoman kumkosa Mpiga Gitaa la Rythm Bingwa Congo DR nzima Lokasaa ya Mbongo ambaye sasa ni Marehemu baada ya Kufariki dunia mwaka huu kama sijakosea.
Jamaa kafariki march kazikwa November, sijui kwanini
 
Mbele ya huo Wimbo Nene Tchacou aliimbwa.... Tchacou.... Tchacou.....Bambaaaaa.....Ooooooou.....!! Uweke usikie na Ujiridhishe..

Aliimbwa kwakuwa alipiga Gitaa la Rythm katika huo Wimbo baada ya Kanda Bongoman kumkosa Mpiga Gitaa la Rythm Bingwa Congo DR nzima Lokasaa ya Mbongo ambaye sasa ni Marehemu baada ya Kufariki dunia mwaka huu kama sijakosea.
Mkuu umenikumbusha mbali Sana miaka ya 95 hivi Kama sikosei maana nilikuwa bado sijaanza hata shule Kaka zangu walinipeleka Saloon kunyolewa nikakuomba kinyozi aninyoe Kama LOKASA YA MBONGO maana ndio alikuwa anatamba Sana na Kaka zangu wakakubali kwamba Mimi ninyolewe Kama LOKASA kwasababu sisomi Aisee..! Usiku Mshua aliporudi kapiga Kilimanjaro zake akakuta nimenyoa vile Ni Mungu tu alisaidia Mimi na Kaka zangu Tusiumalize Mwendo...! Ila kwa kufupisha Story Ni kwamba yule jamaa wa Saloon alienda kufuatwa Home kwake na kwenda Saloon kuninyoa Saa Saba za Usiku mbele ya machawa wa Mshua.
 
Kwa anayetaka kujua Uwezo wake atafute ile Video ya Kanda Bongoman ya Live aliyopiga nchini Kenya kabla aliyekuwa Rais wa Kenya Daniel Arap Moi kumpa Saa 24 Kanda Bongoman aondoke nchini Kenya kwakuwa alisababisha Wakenya wasiende Kazini na wakawa wanapigana Vikumbo kuingia katika Shows zake Uwanja Mkubwa na katika Kumbi kubwa za Jijini Nairobi.

Mpiga Solo Gitaa huyu Nene Tchacou alifanya Balaa Kubwa na hasa katika Wimbo pendwa na Uliotamba sana wa Inde Monie ambao wakati Unarekodiwa aliyepiga Solo Gitaa alikuwa ni Mwamba Dally Kimoko.

Na huyu huyu Mpiga Solo Gitaa Nene Tchacou pia alipiga na Yondo Sister na ule Wimbo mtamu wa Bazo Solo lile tamu alilikunguta Yeye na hata Msanii Alain Kounkou na Kundi la Soukouss Stars bado Nene Tchacou ndiyo alikuwa Mpiga Gitaa la Solo wao.

Ana Sura ya Kike ila ni Hatari mno.
Nimependa kuona kuna watu wapo deep sana ktk nyimbo za Congo. Niombe kitu, mbali na midundo yao na sauti za kupaza. Hebu ukipata time ingia deep kuwaelezea ma Rapa , uwezo wao.

Marehemu mzee, enzi hizo alikuwa ndo ananipa historia za wanamuziki wa congo, dancers jinsi wanavyo kuwa na washabiki binafsi kabisa. Yaani kuna mtu anaenda kumtazama Live show fulani kisa Jolie bebe yupo hapo.
Hebu tufinyie mkuu.. Ukipata kibali, shuka na Translation ya zile nyimbo za zaman kabisa za kina Madilu system, Zaiko langa Langa, Tabuley Et al.
 
Sina muda wa Kuyafanya yote haya.
 
Back
Top Bottom