Kocha Gamondi "Kombe la Shirikisho ni la kitoto, huku Klabu Bingwa ni kugumu sana, sidhani kama tutafuzu"

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
5,168
7,950
Katika press ya kabla ya mechi ya Yanga vs Mtibwa, Kocha Gamondi alisema ukweli mchungu ambao inawezekana wanachama, mashabiki na wapenzi wa Yanga wangekuwa wanajua ngeli na ung'eng'e wakaweza kumuelewa, angekuwa na wakati mgumu sana.

Gamondi alianza kwa kuomba msamaha kwa wale ambao watakwazika kwa maneno yake halafu akasema Kombe la Shirikisho ni kombe dogo na lisilo na hadhi. Vitimu ambavyo vingine vimeshindwa kwenye Klabu Bingwa vinaangukia huko, ghafla vinajikuta kwenye fainali halafu vinaanza kusumbua watu.

Akamalizia kwa kusema huku Klabu Bingwa ni kugumu mnoo maana kila unayekutana naye ni timu ya viwango, hakuna timu unayoweza kuita ni kibonde.

Sasa kama hadi kocha wako anasema hivyo, wewe mshabiki hoya hoya unabisha nini?
 
Katika press ya kabla ya mechi ya Yanga vs Mtibwa, Kocha Gamondi alisema ukweli mchungu ambao inawezekana wanachama, mashabiki na wapenzi wa Yanga wangekuwa wanajua ngeli na ung'eng'e wakaweza kumuelewa, angekuwa na wakati mgumu sana.

Gamondi alianza kwa kuomba msamaha kwa wale ambao watakwazika kwa maneno yake halafu akasema Kombe la Shirikisho ni kombe dogo na lisilo na hadhi. Vitimu ambavyo vingine vimeshindwa kwenye Klabu Bingwa vinaangukia huko, ghafla vinajikuta kwenye fainali halafu vinaanza kusumbua watu.

Akamalizia kwa kusema huku Klabu Bingwa ni kugumu mnoo maana kila unayekutana naye ni timu ya viwango, hakuna timu unayoweza kuita ni kibonde.

Sasa kama hadi Gamondi anasema hivyo, wewe mshabiki hoya hoya unabisha nini?
Gomandi tumpe ulinziii mkali
 
Gamond atuachie timu yetu

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
Hayo maneno kaongea Gamondi au umeyaongea wewe? Kama ni Gamondi tuwekee video hapa tumsikilize alichokisema.
 
Katika press ya kabla ya mechi ya Yanga vs Mtibwa, Kocha Gamondi alisema ukweli mchungu ambao inawezekana wanachama, mashabiki na wapenzi wa Yanga wangekuwa wanajua ngeli na ung'eng'e wakaweza kumuelewa, angekuwa na wakati mgumu sana.

Gamondi alianza kwa kuomba msamaha kwa wale ambao watakwazika kwa maneno yake halafu akasema Kombe la Shirikisho ni kombe dogo na lisilo na hadhi. Vitimu ambavyo vingine vimeshindwa kwenye Klabu Bingwa vinaangukia huko, ghafla vinajikuta kwenye fainali halafu vinaanza kusumbua watu.

Akamalizia kwa kusema huku Klabu Bingwa ni kugumu mnoo maana kila unayekutana naye ni timu ya viwango, hakuna timu unayoweza kuita ni kibonde.

Sasa kama hadi Gamondi anasema hivyo, wewe mshabiki hoya hoya unabisha nini?
Tangu mpigwe 5 akili zisha wayumba, kocha gani anaweza kuongea pumba kama hizo?
 
Gomandi tumpe ulinziii mkali

Gamond atuachie timu yetu

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app

"Siku zake kwenye klabu yetu pendwa zahesabika" alisikika mlevi mmoja....
😃

Naunga mkono hoja 🤣
Kashanusa aibu inayokuja mbele. Watu wanawafunga kina Benzema, na wanacheza na Fluminence na Man City, halafu unategemea kuwafunga ukiwa na kina Moloko na Skudu tena nyumbani kwao
 
Haya majitu ni majinga sana wanalidharau kombe ambalo hawajahi hata kufika semi finals timu zote kubwa Africa zisha wahi either kuchukua au kufika fainali hilo kombe wao wamebaki kubeza kama lingekua kombe rahisi si wangelichukua tuone?
Vuka kwanza makundi tuone kama rahisi ili uanze kuchukua ww ufungue njia umecheza mechi 9 Caf champions league group umepigwa 5 ume draw 4 hujawahi shinda hata mechi moja tangia 1993.
 
Anadhani kauli hiyo itamsaidia akifanya vibaya kombe la mabingwa!!? Akizingua tunakula kichwa.
Lakini si tayari malengo ya timu kuingia makundi yamefikiwa? Mwakani kama mtaweza kumshinda Azam mkashika nafasi ya pili kwenye ligi, mtaweka malengo mfike tena makundi na mshinde angalau mechi moja kwenye makundi, mdogo mdogo mnasogea
 
Katika press ya kabla ya mechi ya Yanga vs Mtibwa, Kocha Gamondi alisema ukweli mchungu ambao inawezekana wanachama, mashabiki na wapenzi wa Yanga wangekuwa wanajua ngeli na ung'eng'e wakaweza kumuelewa, angekuwa na wakati mgumu sana.

Gamondi alianza kwa kuomba msamaha kwa wale ambao watakwazika kwa maneno yake halafu akasema Kombe la Shirikisho ni kombe dogo na lisilo na hadhi. Vitimu ambavyo vingine vimeshindwa kwenye Klabu Bingwa vinaangukia huko, ghafla vinajikuta kwenye fainali halafu vinaanza kusumbua watu.

Akamalizia kwa kusema huku Klabu Bingwa ni kugumu mnoo maana kila unayekutana naye ni timu ya viwango, hakuna timu unayoweza kuita ni kibonde.

Sasa kama hadi Gamondi anasema hivyo, wewe mshabiki hoya hoya unabisha nini?
Hatumtaki Mwenyekiti, ajiuzuru.
 
Back
Top Bottom