Leo nitawapa jibu la kwa nini wanawake wanaojiuza ni wazuri au wanavutia sana na walioolewa ni wanawake wa kawaida tu

Teslarati

JF-Expert Member
Nov 21, 2019
1,728
6,792
Kwanza kabisa kuna “Upungufu wa Wanaume Waliofanikiwa” lakini hakuna “Upungufu wa Wanawake Wazuri” tokea dunia iumbwe.

Pili wanawake wazuri au wenye mvuto huwa wanaona wamezaliwa na duka/supermarket tyr yenye bidhaa moja renewable hapo kati. Kwa hio moja kwa moja anaanza kusupply mara tu demand ikiwa kubwa (akitongozwa mara 2 / 3).

Tatu, hilo duka wanalodhani wanalo akilini mwao linawapa kiburi hawatulii nyumbani na mume mmoja. Wanakuja kujua too late na hvo wanarudi kwenye biashara yao kama kawaida.

Wajuzi ongezeeni, mie nipo hapa na pisi kali sana moja inaniuliza eti “Kama unampenda mke wako kwa nn uko na mm hapa” Nimeiambia “Namuheshimu mke wangu sababu kanizalia watoto hivyo mambo ninayoenda kukufanyia usiku huu ni yale nisioyafanya kwa mke au mchepuko wangu”

Tukutane asbh ntajibu comments.
 
Kijana Balqior njoo usome hapa
 
mie nipo hapa na pisi kali sana moja inaniuliza eti “Kama unampenda mke wako kwa nn uko na mm hapa
Mpe jibu kwamba "mke huwa ni mbaya kwa rangi na sura. Na hata kwichikwichi tunafanya naye gizani ili kupata watoto. Lkn mitoko tunataka na malaya wenye sura na rangi nzuri."
 
Kwanza kabisa kuna “Upungufu wa Wanaume Waliofanikiwa” lakini hakuna “Upungufu wa Wanawake Wazuri” tokea dunia iumbwe.

Pili wanawake wazuri au wenye mvuto huwa wanaona wamezaliwa na duka/supermarket tyr yenye bidhaa moja renewable hapo kati. Kwa hio moja kwa moja anaanza kusupply mara tu demand ikiwa kubwa (akitongozwa mara 2 / 3).

Tatu, hilo duka wanalodhani wanalo akilini mwao linawapa kiburi hawatulii nyumbani na mume mmoja. Wanakuja kujua too late na hvo wanarudi kwenye biashara yao kama kawaida.

Wajuzi ongezeeni, mie nipo hapa na pisi kali sana moja inaniuliza eti “Kama unampenda mke wako kwa nn uko na mm hapa” Nimeiambia “Namuheshimu mke wangu sababu kanizalia watoto hivyo mambo ninayoenda kukufanyia usiku huu ni yale nisioyafanya kwa mke au mchepuko wangu”

Tukutane asbh ntajibu comments.
Nanukuu,

"Kwanza kabisa kuna “Upungufu wa Wanaume Waliofanikiwa” lakini hakuna “Upungufu wa Wanawake Wazuri” tokea dunia iumbwe"

Hii phrase iwekewe Lamination 😅😅😂😂😂
 
Back
Top Bottom