Bongo tutasubiri sana, kujikomboa bado sana, labda miaka 500 ijayo!

Heart Wood.

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
886
930
Kila mtu anawaza upigaji tu, yaani vichwa vimejaa ni namna gani fursa ije ili mtu apige.

Huko kwenye ofisi za umma pamejaa mi-ungu watu, kuanzia mfagizi hadi ma-boss!

Badala ya kufanya kazi, watu wamejaa majungu, kuoneana wivu na kuchongeana.

Watu wanafiki kupitiliza. Usoni wanakuchekea kumbe moyoni wamejaza chuki kupindukia.

Watu hawana huruma kabisa na umaskini wa wenzao, yaani hawajali chochote, kila mtu anaangalia maisha yake.

Nimesikitika sana. Kwa namna hii tujajikomboa miaka 500 ijayo!
 
Daaah hatariiii Sana hali ni mbaya
Ngoja tulambe asali
Kwan wewe hupend asali??
JamiiForums1312488695.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana mkuu, nadhani jibu sahihi ni kubinafsisha taasisi hizi za serikali kwa sekta binafsi.
Mfumo wetu wote wa utawala na utendaji unahitaji kufanyiwa overhaul reforms! Uwekezaji mkubwa ufanyike kwamza kwenye kubadilisha mindsets za watu. Hivi tulivyo sasa, tukiachwa hivihivi itatuchukua miaka 500 kujikomboa kwenye huu umaskini.
 
Kila mtu anawaza upigaji tu, yaani vichwa vimejaa ni namna gani fursa ije ili mtu apige.

Huko kwenye ofisi za umma pamejaa mi-ungu watu, kuanzia mfagizi hadi ma-boss!

Badala ya kufanya kazi, watu wamejaa majungu, kuoneana wivu na kuchongeana.

Watu wanafiki kupitiliza. Usoni wanakuchekea kumbe moyoni wamejaza chuki kupindukia.

Watu hawana huruma kabisa na umaskini wa wenzao, yaani hawajali chochote, kila mtu anaangalia maisha yake.

Nimesikitika sana. Kwa namna hii tujajikomboa miaka 500 ijayo!
SUALA LA KATIBA MPYA
NI MOJA YA HOFU KUU YA CCM NA WANUFAIKA WAKE WOTE.
KWA SYSTEM WALIONAYO MABADILIKO YANAYOTAKIWA SIO RAHISI KUPATIKANA,
NI EITHER KWA NJIA YA MAPINDUZI AU WAKOLONI WARUDI KUENDELEA NA PALE WALIPOISHIA 1960.
KWA SASA HIVI, KILA MWENYE NAFASI ANAKWAPUA VYAKE NA VYA WAOTOTO WA WAJUKUU ZAKE.
 
Back
Top Bottom