Madaktari mnatuchanganya kuhusu muda gani wa kufanya mapenzi na mke baada ya kujifungua

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,114
Yaani ukikutana na Daktari wa Mwananyamala na Kumuuliza Mkeo akijifungua ni lini uanze Kufanya naye mapenzi utajibiwa baada ya Siku 40 au 60.

Ukiwauliza Madaktari wa Amana na Temeke watakuambia baada ya Miezi Mitatu hadi Sita. Yaani kila Daktari anashauri anavyojisikia na Alichokikariri Chuo Kikuu alichokisoma.

Kudadadeki zenu sasa GENTAMYCINE nami nakuja na utaratibu wangu kama Daktari nisiye na Cheti kuwa Shemeji yenu Akijifungua tu nikimvumilia sana basi ni Siku 7 au 14 tu na baada ya hapo ni Kumbandua bila Huruma kwani hakuja Kwangu Kushiba na Kukuweka pekee.

Halafu ni kwanini Madaktari wa Tanzania huwa hamfanani kwa Maelekezo yenu ya Kitabibu kwetu Wanadamu / Wagonjwa?

Na kama kuna Daktari (tena Specialist kabisa) ambaye anatuchanganya Watanzania kwa Kauli zake Mchanganyiko ni Profesa Janabi na nadhani kama kuna kauli Mchanganyiko aliyoibakiza kutuambia Watanzania ni kuwa Wanaume waliotahiriwa wanaishi Maisha marefu kuliko Sisi tuliotahairiwa.
 
Kuna mijibaba inabandua mara tu baada ya kukandwa maji ya moto na inatupia kitu kingine muda mtoto ananyonya mwingine tayari anahesabu siku za kutokea duniani, ndiyo ile inaitwa kubebanisha. Wengine mama akishakunywa mitori, supu na madikodiko mengine akanona tena na kuvutia anapandwa tena bila kujali kuna kichanga hakijafikisha hata miezi mitano
 
Yaani ukikutana na Daktari wa Mwananyamala na Kumuuliza Mkeo akijifungua ni lini uanze Kufanya naye mapenzi utajibiwa baada ya Siku 40 au 60.

Ukiwauliza Madaktari wa Amana na Temeke watakuambia baada ya Miezi Mitatu hadi Sita. Yaani kila Daktari anashauri anavyojisikia na Alichokikariri Chuo Kikuu alichokisoma.

Kudadadeki zenu sasa GENTAMYCINE nami nakuja na utaratibu wangu kama Daktari nisiye na Cheti kuwa Shemeji yenu Akijifungua tu nikimvumilia sana basi ni Siku 7 au 14 tu na baada ya hapo ni Kumbandua bila Huruma kwani hakuja Kwangu Kushiba na Kukuweka pekee.

Halafu ni kwanini Madaktari wa Tanzania huwa hamfanani kwa Maelekezo yenu ya Kitabibu kwetu Wanadamu / Wagonjwa?

Na kama kuna Daktari (tena Specialist kabisa) ambaye anatuchanganya Watanzania kwa Kauli zake Mchanganyiko ni Profesa Janabi na nadhani kama kuna kauli Mchanganyiko aliyoibakiza kutuambia Watanzania ni kuwa Wanaume waliotahiriwa wanaishi Maisha marefu kuliko Sisi tuliotahairiwa.
subiri hadi atakapo hitaji mtoto tena
 
Mkuu 40 mpaka 60 inautaofauti Gani na miezi mitatu..

Kila daktari hutoa Recomendation kutokana na kumuona mgonjwa inaruhusiwa anaweza kuwa amekupa Recomended Days kwa mujibu wa Miongozo huenda hukuenda na mkeo au hakuona hali yake..

Na mwingine huenda amekwambia kutokana na kuona hali ya mkeo na akamuhurumia Kwa Mikiki mikiki na akarecomend siku 30 zaidi kwa ajili ya afya yake..

Wanaume tuwe na Huruma kwa wake zetu we siku 7 bado anaMaumivu michubuko na bado kuna Damu (LOCHIA) Unless huna kinyaa...

Lochia hukadiriwa kukata baada au ndani ya Siku 21 ,30 au 40.. na ndo maana Range nzuri ni siku 40..

Ila baada ya hapo sasa tunaangalia na Mmama mwenyewe Afya yake ya kuhimili mikiki na huruma ya mtoto pia ndo maaana miezi 3 ni Recomended sana kuliko miezi miwili ..(Ili angalau hata nguvu mama Awe nazo)
 
Yaani ukikutana na Daktari wa Mwananyamala na Kumuuliza Mkeo akijifungua ni lini uanze Kufanya naye mapenzi utajibiwa baada ya Siku 40 au 60.

Ukiwauliza Madaktari wa Amana na Temeke watakuambia baada ya Miezi Mitatu hadi Sita. Yaani kila Daktari anashauri anavyojisikia na Alichokikariri Chuo Kikuu alichokisoma.

Kudadadeki zenu sasa GENTAMYCINE nami nakuja na utaratibu wangu kama Daktari nisiye na Cheti kuwa Shemeji yenu Akijifungua tu nikimvumilia sana basi ni Siku 7 au 14 tu na baada ya hapo ni Kumbandua bila Huruma kwani hakuja Kwangu Kushiba na Kukuweka pekee.

Halafu ni kwanini Madaktari wa Tanzania huwa hamfanani kwa Maelekezo yenu ya Kitabibu kwetu Wanadamu / Wagonjwa?

Na kama kuna Daktari (tena Specialist kabisa) ambaye anatuchanganya Watanzania kwa Kauli zake Mchanganyiko ni Profesa Janabi na nadhani kama kuna kauli Mchanganyiko aliyoibakiza kutuambia Watanzania ni kuwa Wanaume waliotahiriwa wanaishi Maisha marefu kuliko Sisi tuliotahairiwa.
Hii inchi uhuru umezidi sana ina pelekea viongozi kuwatukana wenye inchi yao na kuwambia kama vipi wahamie Burundi.
 
Yaani ukikutana na Daktari wa Mwananyamala na Kumuuliza Mkeo akijifungua ni lini uanze Kufanya naye mapenzi utajibiwa baada ya Siku 40 au 60.

Ukiwauliza Madaktari wa Amana na Temeke watakuambia baada ya Miezi Mitatu hadi Sita. Yaani kila Daktari anashauri anavyojisikia na Alichokikariri Chuo Kikuu alichokisoma.

Kudadadeki zenu sasa GENTAMYCINE nami nakuja na utaratibu wangu kama Daktari nisiye na Cheti kuwa Shemeji yenu Akijifungua tu nikimvumilia sana basi ni Siku 7 au 14 tu na baada ya hapo ni Kumbandua bila Huruma kwani hakuja Kwangu Kushiba na Kukuweka pekee.

Halafu ni kwanini Madaktari wa Tanzania huwa hamfanani kwa Maelekezo yenu ya Kitabibu kwetu Wanadamu / Wagonjwa?

Na kama kuna Daktari (tena Specialist kabisa) ambaye anatuchanganya Watanzania kwa Kauli zake Mchanganyiko ni Profesa Janabi na nadhani kama kuna kauli Mchanganyiko aliyoibakiza kutuambia Watanzania ni kuwa Wanaume waliotahiriwa wanaishi Maisha marefu kuliko Sisi tuliotahairiwa.
Nilianza kukuheshimu..kwa kuona vipost vyako kama vinne hivi ila kwa sasa 🚮
 
mkuu unakwama wapi, oa wake kumi na mbili, hujajifunza kitu toka kwa jenrali mstafu
 
Nilianza kukuheshimu..kwa kuona vipost vyako kama vinne hivi ila kwa sasa 🚮
Nilikuomba Uniheshimu? Kama nina Followers 175 hapa JamiiForums na kila Siku tu Wanaongezeka nina haja ya kuhangaika na Kibushuti na Pang'ang'a Mmoja Wewe? Nitafurahi ukianza Kunichukia GENTAMYCINE baada ya Kusoma / Kuisoma Post hii sawa?
 
Yaani ukikutana na Daktari wa Mwananyamala na Kumuuliza Mkeo akijifungua ni lini uanze Kufanya naye mapenzi utajibiwa baada ya Siku 40 au 60.

Ukiwauliza Madaktari wa Amana na Temeke watakuambia baada ya Miezi Mitatu hadi Sita. Yaani kila Daktari anashauri anavyojisikia na Alichokikariri Chuo Kikuu alichokisoma.

Kudadadeki zenu sasa GENTAMYCINE nami nakuja na utaratibu wangu kama Daktari nisiye na Cheti kuwa Shemeji yenu Akijifungua tu nikimvumilia sana basi ni Siku 7 au 14 tu na baada ya hapo ni Kumbandua bila Huruma kwani hakuja Kwangu Kushiba na Kukuweka pekee.

Halafu ni kwanini Madaktari wa Tanzania huwa hamfanani kwa Maelekezo yenu ya Kitabibu kwetu Wanadamu / Wagonjwa?

Na kama kuna Daktari (tena Specialist kabisa) ambaye anatuchanganya Watanzania kwa Kauli zake Mchanganyiko ni Profesa Janabi na nadhani kama kuna kauli Mchanganyiko aliyoibakiza kutuambia Watanzania ni kuwa Wanaume waliotahiriwa wanaishi Maisha marefu kuliko Sisi tuliotahairiwa.
Yaani pamoja na kujitutumua kote eti kidume kumbe hata pisi kali la kukuliwaza hapa mjini huna?
 
Back
Top Bottom