Nimekua disappointed sana na Mtu ambaye nilikua namuona wa thamani sana....ni week sasa Tangu nikutane na hio disappointment

Miss_Mariaah

JF-Expert Member
Nov 9, 2022
1,054
2,425
Wakuu, nimekua disappointed na mtu ambaye tuko very close; nilikua namchukulia kama ndugu yangu wa damu. I was very fond of him yan katika circle yangu ya watu wachache, nilionichagulia, na yeye nilikua namconsider. Dah, gafla bin Vu akanifanyia kitu ambacho nikarealize kumbe mimi ndo nlikua najipa umuhimu kwake, yeye ananichukulia tofauti na nilivodhani. Aisee, nimeumia sana, naomba Mungu nisamehe, ila kuna muda nikiikumbuka najikuta naumia na kushikwa hasira.

Huyo jamaa niko nae ofisi moja, tunafanya kazi yan miongoni mwa staff wote, yule ndo nilimuona kama rafiki. Kila nikiiona akitype kwenye group kazini, hasira zinanijia. Nimeamua kubadili jina lake, nimesave kivingine, hii kidogo imenipa relief. Disappointment zinaumiza sana, hasa kwa yule mtu uliemuamini sana na kumuona mwema, kumbe yeye yuko vice versa ya unavyofikir. Wakuu, vipi kwa upande wenu, mnadeal vipi na disappointment? Nimegundua disappointment kutoka kwa watu wa karibu zinaumiza sana.
 
Wakuu nimekua disappointed na Mtu ambaye tuko very close nilikua namchukulia kama ndugu yangu wa damu I was very fond of him Yan katika circle yangu ya watu wachachee nlionichagulia na yeye nilikua namconsider....dah gafla bin Vu akanifanyia kitu ambacho nikarealize kumbe Mimi ndo nlikua najipa umuhimu kwake yeye ananichukulia tofaut na nlivodhani.....aisee nimeumia sana naomba Mungu nisamehe ila Kuna muda nkikumbuka najikuta naumia na kushikwa hasira... huyo jamaa Niko nae ofisi Moja tunafanya kazi Yan miongoni mwa staff wote yule ndo nilimuona kama rafikii...Kila nkiona akitype kwenye group kazini hasira zinanijia nimeamua kubadili jina lake nimesave kivingine hii kidogo imenipa relief...... disappointment zinaumiza sana hasa Kwa yule mtu uliemuamini sana na kumuona mwema kumbe yeye Yuko vice versa ya unavofkir.....wakuu vipi Kwa upande wenu mnadeal vipi na disappointment....nimegundua disappointment kutoka Kwa watu wa karibu zinaumiza sana
Ni kwel
 
Kiumbe chenye miguu miwili hakipaswi kuaminiwa hata
 
Nimewahi kutokewa na case kama yako ofisini. Nilimpenda sana kama ndugu yangu kwa vile tulianza kazi pamoja, nikamuamini (japo sikuwahi kumwambia yangu ya maisha binafsi), nikamtetea hadi anapokosea dhahiri hasa kwenye masuala ya wizi.

Siku moja ukatokea ugomvi akaungana na mbaya wangu na kuninunia bila sababu!
Ever since nilimtoa kabisa katika akili yangu.
Yeye ndio anahaha mimi wala sina habari nae.
Namchukulia kawaida sana kama wengine sio kwa upendo kama zamani.
 
Disappointment ni mbaya sana kweli kazini hakuna rafiki
 
Mkuu ata mimi apa mida ya saa 3 hivi nimezinguana na bro mmoja hivi tunatoka mkoa mmoja mbeya yaani mimi nilivokuwa namchulia kama real bro kumbe mimi nilikuwa najidanganya mwenyewe aiseh kumbe hakuna kitu ndani yake ila daah nimerealise kumbe umzaniae ndie kumbe sie
 
Huna haja ya kujutia mema yako, ukitenda jema usingoje shukrani.
Dunia ni duara, hata wewe si mkamirifu, yawezekana ktk safari yako ya maisha vilex2 ulishawahi kumdissapoint mtu ingine bila wewe kujua au kwa makusudi. Next time usiwe na expectations kwa mtu, mtendee mema ukiamini ni wajibu wako na pia ukifanya hivyo kuenzi upendo wa Mungu.
 
Halafu kwanini unachagua mtu wa kuwa nae close?

Why usiache tu itokee yenyewe Nani awe close na nani asiwe close?

Unachagua ili iweje ...
Wa treat watu wote kwa wema ...rafiki atajitambulisha na adui atajitokeza
 
Back
Top Bottom