Kwanini Watangazaji wengi wa Kiume wa Redio nchini Ukiwasikiliza haraka sana utawagundua ni Nusu Wanaume na Nusu Wao?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,033
Kuna Kipindi fulani cha Redio nakisikiliza sasa nz na nikimsikiliza Kiumakini Mtangazaji na Mmoja wa Mchambuzi haraka sana nagundua ni Nusu Wanaume na Nusu Wao watupu.

Wazazi tukomae mno na Watoto wetu wa Kiume na tukiwagundua tokea Udogoni wana Dalili za Nusu Wanaume na Nusu Wao basi haraka sana tutumie Nguvu Kubwa kuwarekebisha na kuwabadili.

Hali ni mbaya tusilifanyie Mzaha Ok?
 
Kwani kama akiwa wao kuna tatizo gani mkuu?? Ikiwa anafanya kazi zake analipwa malipo yake na analipa Kodi ya Taifa na kufanya maendeleo? Nadhani tungepambana na watumia madawa ya kulevya na unga na Mafisadi
 
Kuna Kipindi fulani cha Redio nakisikiliza sasa nz na nikimsikiliza Kiumakini Mtangazaji na Mmoja wa Mchambuzi haraka sana nagundua ni Nusu Wanaume na Nusu Wao watupu.

Wazazi tukomae mno na Watoto wetu wa Kiume na tukiwagundua tokea Udogoni wana Dalili za Nusu Wanaume na Nusu Wao basi haraka sana tutumie Nguvu Kubwa kuwarekebisha na kuwabadili.

Hali ni mbaya tusilifanyie Mzaha Ok?
Wanacheka cheka sana kama malaya
 
Kuna yule wa kujiita kaboba huko tibisii efu emu..Wale watangazaji mashangingi miriam wa migomba pamoja na mwenzake ,huwa kuna muda wanajisahau wanamuita 'shoga angu kaboba'.. Hi nimewahi sikia kwenye kipindi chao cha asubuhi kile sijui wanakiitaje wenyewe. Umbea mwanzo mwisho,
 
Back
Top Bottom