Production Discontinued
mtu ana gari ya zamani, kisha anaanza kuumia akisikia kiwanda kimeacha kutengeneza model hiyo. Mfano, mtu mwenye Premio ya 2008 toleo la zamani kabisa anasikitika kwamba Premio zimeacha kutengenezwa mwaka 2021 😂.
Ukilinganisha gari yake ya 2006 hata na toleo la 2018, ni...
Dini zote mbili kubwa huwa zinajitamba sana kwa miujiza mbalimbali, sasa kama unaamini miujiza inayosemakana kuwahi kutokea kwenye dini yako mfano mwezi kupasuka na kisha kujirudia tena au mtu kusafiri kwenda mbinguni na farasi kwa nini ushangae mtu kujaza gesi ya kupikia kwa kupuliza na mdomo?
Niliota Kuna mwanamume shupavu amebeba bunduki.Nikajifanya nimekufa lakini huyo mwanaume alijaribu kunipiga risasi ya mguu. Nilisimama ghafla na kuanza kukimbia.
Mwanaume yule alivyatua risasi ila nilizikwepa. Nikashangaa Kuna wanaume wengine wawili walinizunguka wakinipiga risasi lakini nilizi...
Tangu lini Tanzania iliwahi kuwa na uchaguzi huru na haki? Anajua kuwa mwenyekiti wa CCM ndiye Rais wa Tanzania pia anaeteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi? Anajua kuwa matokeo ya uchaguzi hayahojiwi mahakamani?
Wakati yeye akiwa mwenezi anakumbuka kama vyama vya siasa vilipigwa...
Israeli huwa hawabahatishi katika Target zao Kudadadeki. Sasa kama huyo Mtangazaji Mwanamama wa Televisheni ya Taifa Iran alikuwa anajifanya Kutangaza kwa Kujiamini na Kutoogopa nini kilimfanya atoke baru (akimbie) Studioni pamoja na Cameraman wake baada ya Kombora Tukuka la Israeli kushambulia...
Ukiona hadi GENTAMYCINE nampenda Mtu jua nimeshamtathmini kwa Vigezo vyangu vyote na kugundua kuwa ana Akili, Mbabe, Jeuri halafu ni Mpenzi wa Visasi vya Kuwanyoosha Wajinga (Madunduka) na Wapumbavu (Mapopoma) hasa wa huko Mashariki ya Kati pamoja na wale Wapuuzi wanaowasapoti.
Duniani cheza na...
Hivi Siku mara paaaaap kwa bahati mbaya Sura zetu zote zikaonekana kwa dakika kama tano ( 5 ) katika Simu na Laptops zetu ambazo tunazitumia Kuchati au Kuandika mambo yetu mbalimbali hapa halafu Wote tukajuana kuwa kumbe ID ya fulani ni fulani itakuwaje baada ya hapo?
Ninayoyahisi........
1...
Huyu Jamaa wiki iliyopita nilikuwa naye pale Dodoma,ajabu ni kwamba kuna mambo alikuwa akiniambia nikawa nashangaa tu!
Baada ya kugundua alichokuwa akimaanisha,aiseee nimetafakari sana usiku wa Leo na usingizi umegoma kabisa!
Jamaa kaniambia tuupe Muda - Muda
KAOLE SANAA GROUP
Heri ya sikukuu wana MMU.
Nina scenario 2 za hili tukio kunitokea.
1. Jumatatu ya wiki iliyopita kulikuwa na mvua kubwa sana jijini dsm ambayo ilisababisha ukosefu wa usafiri wa daladala kwa tulio wengi hivyo watu ilibidi watembee wakitoka makazini kurudi makwao mimi nikiwa mmojawapo sasa...
Kwanza kabisa ni vyema unaposoma huu uzi upanue uelewe wako na kiwango chako cha kuyaangalia mambo kwa mapana na marefu.
Kwa miaka miwili mpaka mitatu sasa kumeibuka wimbi kubwa la vijana wachekeshaji (comedian) kila kona ya Tanzania. Ukiwakuta vijana wana camera mtaani lazima tu watakuwa...
El Salvador ni nchi ndogo ya Amerika ya Kati. Ina watu kama milioni saba hivi. Lakini ni nchi ambayo ilikuwa imeandamwa vibaya sana na magenge ya uhalifu na mauaji. Ilikuwa ni moja ya nchi zinazoongoza duniani kwa mauji. Kati ya watu laki moja watu 53 waliuwawa kwa mwaka(Nchi kama Tanzania ni...
Natumia browser katika jamii forum! Kuna mahari naona watu wanaweka emoj ya kucheka! Mimi nikiitafuta siioni zaidi ya emoj ya like👍. Sasa hizo emoj mnazipataje?
Home Arusha, Baba Mngoni, mama mchagga
Wanaume tupeni uzoefu mlipotongozwa live live bila tafsida na wanawake.
Personally huu wehu alinifundisha mwanachuo mwenzangu fulani tukiwa Kenya. Tukichoka kusoma ni muda wa kuanza kutongoza wanaume, wakaka, wababa wanajiona wajanja kuongea sana sasa...
Leo hii kila shabiki wa timu hizo mbili anafanya maombi ya kupata matokeo mazuri.
Nilichokipenda kwenye mechi za leo ni muda mmoja timu zote zinaingia uwanjani. Baada ya dakika 90 mbivu na mbichi zitajulikana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.