Rafiki zangu wanatafuta kadi za chama cha Mapinduzi kwa Gharama yoyote

Seriously? Na chama kitawapokea watu ambao hawajui matawi yao yako wapi! Hata kuulizia wanashindwa. Labda wana mpango wa kuja kuzichana hadharani mbele ya viongozi wa vyama vyao.

Amandla...
Sasa kuna matawi mengine yapo huko ndani ndani huko sijui wapi porini huko nani atakusikia huko.
 
Waende wakakabidhi akili zao lumumba kwanza zikafungiwe kabatini
1626214115186.png
 
Mtoa hoja Meneja wa makampuni mimi ninafikiria wewe ni mtu wa number ndani ya stock exchange kumbe nawe pia ni wale wale....wenye mafaili pale mirembe hosp. ccm imetawala hii nchi yetu for more than 50 yrs!!!hadi leo maji safi ni shida,elimu bora ni utatanishi tu,halafu middle class kama wewe umeshashiba bcs system's imekulisha unakuja na jokes kama hii,elewa mwenye njaa huwezi kumletea utani au upuuzi kama huu.
 
CCM tunaipenda mkuu, tuacheni na CCM yetu.
 
Habari za Leo wakuu,

Baada ya kuwashawishi kwa muda mrefu hatimae jamaa zangu wamekubali kujiunga na CCM.

Hivyo wanatafuta kadi za chama cha Mapinduzi kwa Gharama yeyote.
Yaani umewashawishi bila kujua wapi kadi zinapatikana? Umewashawishi ukiwa planet gani??
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom