kununa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Pale tunapotakiwa tukasirike tunacheka, na pale tunapotakiwa kucheka eti tunakasirika! Nchi ya ajabu sana hii!

    Nilitarajia kuona kila mtanzania amekasirika na kuonyesha hisia zake hasaa kwenye mambo yafuatayo; Ufisadi Kwanini kuwachekelea waliopewa mamlaka kusimamia haki za wananchi pamoja na kulinda kuhakikisha hakuna shilingi ya Mtanzania inakwapuliwa na mafisadi? Anatokea mtu mmoja tu kusema hili...
  2. Zee Korofi

    Mzee wangu ameniharibu!

    Good afternoon brothers. Majukumu ya malezi yanakwendaje? Uhusiano wangu na jamii; Tangu nazaliwa na kuanza kujitambua, mzee wangu amenilea malezi ambayo naona magumu yake na athari zake muda huu. Nina 'traits' za kushangaza ila naomba mjikite kwenye kutoa ushauri na ufafanuzi tafadhali...
  3. senkoP

    Vitu gani husababisha Wanawake wanune?

    Jamani nataka niulize ni week sasa Mke wangu kanuna na sina kitu chochote nimemfanya, Hivi vitu gani vinasababisha wanawake kununa kwani na mimi nimebaki kimya tu sasa sielewi huku kununa kwa mwenzangu kutaisha lini[emoji854] Picha kutoka maktaba
  4. Umuzukuru

    Mke wangu akiwa nami 'full kununa' ila tukiwa na rafiki zangu anatabasamu na kucheka sana

    Yaani iko hivi Ukiwa na mke wako mkiwa wawili hacheki kabisa yaani full kununiana full ukauzu. Ila sasa wakiwepo washkaji na marafiki zako wa wa kazini au hata mtaani unakuta tabasamu halikauki usoni mwake. Yaani ni kucheka mwanzo mwisho. Bashasha za hapa na pale hatari yaani hadi unaona aahh...
  5. The Eric

    Ukiwa na mpenzi ambaye hawezi kuendana na wewe lazima uteseke

    Habarini wote! Nafikiria tu wakuu japo mimi siyo mlengwa hasa hasa ninachofikiria japo ipo haja ya kufahamu duniani kuzaliwa ni bahati na kama utayapatia mapenzi na mwenza wako hakikisha sana unapata mwenza mnaye kuwa na furaha na uhuru muda wote hata kama vumba hakuna ( Yaani Vumba lisiwe...
  6. ngoshwe

    Hata akinunaje ataongea tu...

    Tulianza vibaya mwaka mpya na Ma msapu. Kisa kidogo tu nilimwambia sitoweza kumsaidia jambo ambalo yeye aliona ni muhimu nami nikasema sio kama vipi nipe muda.Alikasirika akaniambia hiyo ndio tabia yangu kwake na ananijua lakini ingekuwa mwingine ningempapatikia. Haikunipendeza lakini...
Back
Top Bottom