naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Faw Mende tipper or Howo Mende tipper za kununua. Nahitaji unit 14 ziwe used

    Nahitaji Howo tipper mende or Faw tipper mende used za kununua naitaji pc 14 . Kama unazo naomba uje inbox
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa Serikali kwa miaka 20 akifukuzwa anapata mafao?

    Naomba ufafanuzi kama ukiwa mtumishi wa Serikali zaidi ya miaka 20 je kama ukifukuzwa kazi kuna mafao yoyote utapata? Au ukiamua kuacha kazi, Je kuna mafao yoyote unaweza kupata? Na je kama una mkopo benki hilo deni linalipwaje na wewe uko nje ya utumishi.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Naomba uzoefu biashara ya daladala Dar es Salaam

    Habarini ndugu watanzania wenzangu. Naombeni kupata uzoefu wenu kwa biashara ya daladala kwa hapa jijini Dar es Salaam, ningependa kufahamu, changamoto zake, fursa zake, namna bora ya uendeshaji wa biashara hii, route ambayo ni nzuri kwa kuanzia na details nyingine ambazo ni muhimu kwa mgeni wa...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Mmiliki wa Hotel inayokuja kwa Kasi sana Unguja Zanzibar ya Kwanza Hotel

    Nijibuni haraka kwani kwa jinsi ilivyo, ilivyojengwa kwa haraka kuanzia tarehe 21 Machi, 2021 na inavyojaza Watu sasa na Huduma zake na Mimi GENTAMYCINE natamani kwenda, ila ili niende nikiwa na Furaha tele ningependa hasa nimjue Mmiliki wake ili nimpongeze kwani amejua kutumia Fursa na Mwanya...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kufundishwa namna ya kutengeneza automatic school result ya excel

    wakuu naomba msaada namna ya KUTENGENEZA AUTOMATIC templete ya matokeo ya shule ya msingi....yaani niwe naweka tu majina na matokeo, template yenyewe iwe inanitafutia jumla,wastani, daraja na nafasi.....automatic.....msaada wakuuuu
  6. T

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuchua

    Habarini... Naomba kuuliza ni dawa gani ya kiasili ya kuchua kwa mtu aliyepata mpasuko (fracture)kwenye mbavu. Nawasilisha.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

    Waheshimiwa, habari nilizonazo ni kuwa juzi kikao cha senet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imemtunuku hadhi ya Uprofesa Dr. Kitila Mkumbo. Kwa hiyo kuanzia sasa sio tena Doctor bali ni Professor. Hongera Professor Mkumbo ==================== ==================== CV ya Proff. Kitila Mkumbo...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali ingilia kati huu upigaji wa billion 7.2 za Walimu

    Ni upumbavu mkubwa wa Hawa viongozi wa CWT wakiendelea kuwaibia walimu, naomba serikali isikae kimya juu ya Ili suala. Hiki chama hakina tija kwa walimu zaidi ya kuwanyonya na kuwanufaisha watu wachache wasiojielewa. Tokea 2017 chama kimekua na migogoro Mingi mno kwa sababu kuiba CWT imekua...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa mahali zilipo ofisi za Selcom kwa Dar es Salaam

    Salaam. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Naomba mwenye kujua ofisi za hawa jamaa wanaitwa Selcom malipo mtandaoni. Mnamo tarehe 01 November nilipita kituo cha mafuta cha Puma pale posta kuweka mafuta bahati mbaya sikuwa na cash hivyo nikaona kuna njia ya kulipia kwa simu...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba idadi ya Wachangiaji hapa Jamiiforums isipungue leo kuanzia Saa 1 Kamili za Usiku

    Halafu kuanzia Saa 1 Kamili hiyo ya leo tarehe 5 Novemba, 2023 ukija ( Uki Log In ) hapa Jamiiforums usije na Mihasira yako bali kuwa tu Mvumilivu kwani huo ndiyo Maana na Ukomavu wa Utani wa Jadi.
  11. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kusoma "Masters"

    poleni na hongera kwa majukumu ya kila siku, naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kimsingi nahitaji kusoma "masters" ila sijuwi ni kozi gani itanifaa na kuleta tija kwangu. Ndugu wadau, naomba nianze kwa kujitambulisha binafsi kielimu nina shahada ya elimu ya watu wazima na maendeleo ya...
  12. JamiiForums Tanzania Nina Mgogoro kwenye ndoa, kila pesa anayopata Mke wangu anaenda kujenga kwao. Naomba msaada

    Sehemu ya 1. sina budi kuendeleza hii stori. Iko hivi wife na mimi tulifahamiana Kijijini. Nilikuwa F6 yeye akiwa F4 leaver. Nilimsaidia akapata Chuo cha Takwimu akaenda akafanya akapata cheti. Wakati akiwa chuo tulioana, mimi nilikuwa nafanya kazi. Miaka mitatu baadae tulijaaliwa watoto...
  13. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nkasi, Rukwa: Watumishi Ajira Mpya hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Habari wana JF,leo napenda niongelee ubabaishaji wa halmashauri zetu kwenye kuwapa stahiki zao waajiriwa. Tunakumbuka mwezi wa 6 mwaka huu 2023 serikali iliajiri watumishi wapya kada ya afya na elimu na pia ikasisitiza wapewe fedha za kujikimu. Napenda nipongeze kwa halmashauri zote ambazo...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kinana: Kuna watu Wana vyeo vikubwa, ila hawaheshimiki Kwa TABIA zao mbaya

    Hayo Ameyasema Mzee Kinana akiwa msibani Arusha. Je, viongozi hao ndani ya chama na Serikali yake wenye vyeo vikubwa lakini TABIA mbovu ni akiba nani? Je, viongozi wenye TABIA mbovu, wamepenyaje na kupewa mamlaka makubwa chamani na Serikalini? Karibuni🙏 Source: Kusaga.v TV na IPC Mkombozi.v tv.
  15. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kimawazo kuhusu suala la jina katika akaunti ya Benki

    ..
  16. N

    JamiiForums Tanzania Naomba itambulike Derby iliyopo Tanzania ni kati ya Simba na Yanga tu

    Watangazaji wengi nasikia wakisema Derby ya Simba na Azam au Yanga na Azam. Acheni ubabaishaji, timu ya Azam ya mwaka wa 2000's ijenge Derby na timu za 1930's? ni dharau na uwelewa mfupi wa watangazaji.
  17. JamiiForums Tanzania Naomba mwenye Notes au Books za mambo ya umeme wa majumbani

    Naomba mwenye access ya vitabu vinavo husu namna ya kusuku umeme wa majumbani
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kupata majina ya waliochaguliwa kujiunga na Chuo cha Diplomasia

    Ndugu samahanini kwa usumbufu. Nimeomba kujiunga na chuo cha Diplomasia ngazi ya diploma katika dirisha la awamu ya tatu. Lakini kama inavyoonyesha hapo chini website yao haijawa na taarifa za kujitosheleza sana kuhusu walio chaguliwa kujiunga na chuo hicho. Wameweka walio chaguliwa awamu ya...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu kubadili kozi ngazi ya cheti nmesoma human resources alafu diploma nataka kusoma bussness administration naweza badilisha?

    Naweza kubadilisha jaman form four nlipata iv geo c hist c bio c kisw c eng c civs D chem d phys D MATH F naomben kujuzwa. Naombe kujuzwa kuhusu kubadili kozi maana ngazi ya chet nmesoma human resource naweza badili ngazi ya diploma kusoma bussness administration?
  20. JamiiForums Tanzania Naomba ufananuzi wa huu muda walioweka sekretarieti ya ajira kwenye interview

    Naomba wanajamvi mnipe ufanunuzi huu muda wa interview hapa walipoweka saa 1:00 am je hii saa ngapi? je ni sahihi au wamekosea
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…