GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,013
- 119,511
Laiti Wachezaji wote wa Taifa Stars iliyoyaaga Usiku huu Mashindano ya AFCON huko nchini Ivory Coast wangekuwa na Spirit ya Beki Ibrahim Bska nina uhakika Tanzania tusingetolewa mapema hivi.
Kwangu Mimi huyu Beki Ibrahim Baka ndiyo ambaye Watanzania tunatakiwa tumpokee kwa Heshima zote wakirejea kwani ndiyo ameonyesha kweli kuwa amekamilika Kiuzalendo na alienda kweli kuipambania Bendera ya Taifa huko Mashindanoni.
Yanga SC najua nyie ni Watani zangu nikiwa kama mwana Simba SC tukuka Ila hongereni kwa kumuoa huyu Mchezaji tokea akiwa Kwao Kisiwani Zanzibar, Kumlea na Kumtengeneza kupitia Makocha wenu mahiri na hakika Beki Ibrahim Bska ataendelea kuwa Alama bora ya Uzalendo na Upambaji wa Taifa katika Timu ya Taifa ( Taifa Stars ) na GENTAMYCINE mapendekezo kama si sasa basi baadae apewe rasmi Usinga / Unahodha wa Kikosi cha Taifa Stara na Kitamfaa sana na atakitendea Haki kuliko Mafaza na Mabrazameni wengi walioko Kukosini Taifa Stars.
Hongera beki mahiri Ibrahim Baka.