Naomba kujua yafuatayo kuhusu Eneo la Mapinga Kiaraka Mkoa wa Pwani ambako Soon nitakuwa Mkazi Mpya huko

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,119
1. Lilipo Kanisa Katoliki
2. Uliko Uwanja wa Mazoezi wa Mpira
3. Baa za Vinywaji vya Bei nafuu
4. Vijiwe vikubwa vya Masela / Wahuni
5. Vijiwe vya Tamu za Kibaiolojia
6. Zilipo Ofisi za CCM na Kituo cha Polisi
7. Eneo la Makaburi

Haya wana Mapinga Kiaraka kaeni tayari Kunipokea Ndugu yenu Mgeni Mkazi GENTAMYCINE huko..

Nasikia huko Uwizi / Ujambazi hauko sana kwakuwa 90% ya Wakaazi wa huko ni Wazee wa Kikosi Maalum cha JWTZ (Makomandoo) na bahati nzuri Mmoja wao ni Jirani yangu kabisa hivyo tayari nina uhakika wa usalama wangu 100% na sina haja ya Kufuga Mbwa au Kuweka Mmasai ila nasikia huko tatizo Kubwa ni uwepo wa Vibwengo hasa mida ya kuanzia Saa 1 Usiku hadi Saa 5 za Usiku.
 
Sasa so ungemuuliza huyo jirani yako komandoo wa JWTZ angekuambia hivyo vyote.
Kwahiyo Mkazi wa Mapinga Kiaraka ni huyu tu Komandoo Jirani yangu na hakuna Wengine ambao huenda hata hapa JamiiForums tuko nao?
 
1. Lilipo Kanisa Katoliki
2. Uliko Uwanja wa Mazoezi wa Mpira
3. Baa za Vinywaji vya Bei nafuu
4. Vijiwe vikubwa vya Masela / Wahuni
5. Vijiwe vya Tamu za Kibaiolojia
6. Zilipo Ofisi za CCM na Kituo cha Polisi
7. Eneo la Makaburi

Haya wana Mapinga Kiaraka kaeni tayari Kunipokea Ndugu yenu Mgeni Mkazi GENTAMYCINE huko..

Nasikia huko Uwizi / Ujambazi hauko sana kwakuwa 90% ya Wakaazi wa huko ni Wazee wa Kikosi Maalum cha JWTZ (Makomandoo) na bahati nzuri Mmoja wao ni Jirani yangu kabisa hivyo tayari nina uhakika wa usalama wangu 100% na sina haja ya Kufuga Mbwa au Kuweka Mmasai ila nasikia huko tatizo Kubwa ni uwepo wa Vibwengo hasa mida ya kuanzia Saa 1 Usiku hadi Saa 5 za Usiku.
hivyo vibwengo havigongeki kama vipo vya kike tuje kuweka kambi huko
 
Ukanda wa huo mto kutoka upande huo hadi upande wa mabwepande kwa shughuli za ulozi wako vizuri...wazawa wa huko wanaendekeza sana hizo shughuli
 
Ukanda wa huo mto kutoka upande huo hadi upande wa mabwepande kwa shughuli za ulozi wako vizuri...wazawa wa huko wanaendekeza sana hizo shughuli
Upo sahihi kimere huko nyokoooo tuliacha eneo ukubwa heka 2 Kwa ajil hayo mambo
 
Back
Top Bottom