Kikeke kutangaza BBC ni sababu ya uwezo na kipaji sio vyeti.
Baada ya vetting CV yake ina ukakasi, huwezi kuzaliwa 1978 ukawa na diploma 1994, age mate wake tunafahamu kuwa enzi zile kuanza darasa la kwanza ni miaka nane au tisa, so utamaliza darasa la saba na miaka 14, jumlisha miaka 4 ya...
Nimekaa nimefanya tathimi biashara ya kufanya kwa mtaji kidogo nikapata wazo ninunue bonanza machine izi za kuchezesha mia mbili mbili naomba kujuzwa garama za usajili GBT,halmashauri,pamoja na tra kwa mashine moja
Habari za wakati huu wana Jamii
Kwa majina ninaitwa HASSAN IDDI HASSAN Mkazi wa Kigoma-Ujiji
Mimi ni kijana mwenye ndoto ya kufanya mageuzi katika matumizi ya nishati mbadala nikiwa na maana ya Green Energy, pamoja na usafi wa mazingira. Ambapo tutatumia taka (organic waste) kuweza kuzalisha...
Habari za jion wana jf,
Ni kuwa nina akaunti ya kuweka akiba NBC ambayo mara nyingi huwa naweka akiba yangu.
Ila leo nimeangalia salio naona lile salio la mwsho kuangalia halijawa lile ambalo nilitarajiwa liwepo leo navyoangalia, yaani naweka ela nasema leo nianglie nbc mkonon lazima itakuwa...
Wanawake wangu wanadai zinawachoma. Hakuna utofauti wa malalamiko hayo iwe nimezinyoa au nimeziachia. Kila sehemu ninayoaagusa na kidevu changu basi hutoa malalamiko hayo.
Naomba msaada!
Sina utaalamu wa kuzitumia au ndo inavyokuwa?
Naona wenzangu wanaachia ndevu nyiiingi hadi wengine...
Mimi ni kijana wa miaka 22 nimemaliza chuo mwaka huu nina degree ya kodi, baada ya kumaliza chuo kuna sehemu ya biashara nilipata ya mgahawa iko pwani.
Wiki mbili za mwanzo biashara ilienda vizuri lakini baada ya hapo kila tukipika chakula kikawa kinabaki maana kwenye suala la wateja baada ya...
Kuna mwanamke ninaye yaani kila nikitafakari naona napigwa akinitafuta ujue anaomba hela, nikishamtumia hata kushukuru hawezi ukimwomba mapenzi ananizungusha zungusha mpaka tugombane ndio atanipa sasa kivumbi jana usiku nimerudi zangu job nimekaa sebuleni kucheki movie nikaingia whatsapp...
Wakuu kwa anayetumia Vodacom M-Pesa Visa kulipia online naomba kujua ada ni asilimia ngapi. Nimeuliza customer care kupitia Whatsapp yao naambiwa ni 10%. Siamini kama ni ghali hivyo maana naona Safaricom ya Kenya wanachaji 3.5%.
Zamani nilikuwa natumia Mastercard yao haikuwa ghali kiasi hicho...
Hakuna Mwalimu yoyote yule ambae anakikubali hicho chama Cha CWT kwa miaka mingi sana wameendelea kutafuna ada ya 2% kwa Kila Mwanachama ambao ni wengi mnoo, kipindi Cha Magufuli alisema inakadiriwa kwamba wanakusanya zaidi ya Tsh billion 3 kwa mwezi huku impact ya moja kwa moja kwa walimu hao...
Maharage katutesa sana Watanzania. Alikuwa anakata umeme kila anapojisikia ili biashara ya Jenereta itoke. Hii iwe fundisho. TISS na TAKUKURU hakikisheni haki inatendeka. Maharage apelekwe korokoroni au msafisheni kwamba hana Ufisadi Tanesco.
Rais Samia, hapa umeupiga mwingi. Mtumbue na Januari...
Mliowahi weka fedha zenu kwenye akaunti ya muda maalumu Ninaomba ushauri wenu!
Riba ikoje,kwa kiwango gani na kwa muda gani?Benki ipi ni nzuri!
Naomba ufafanuzi hasa kwenu nyie ambao mlishatumia akaunti hiyo!
Nilijaribu kupita benki kadhaa nilichogundua kila benki inavutia kwake!
Habari ya uzima wana jamii forum
Naomba msaada juu ya mchanganuo wa kufungua library classic ya movie na series HD/4K ipoje na imekaaje soko lake kwa sasa.
1. Mahitaji kiujumla
2. Faida na hasara(changamoto)
3. Ushauri na maoni yanapokelewa
Naomba msaada wenu
Baada ya kutumia Samsung muda mrefu nimewiwa kujaribu na iPhone.
Ningependa kuanzia na iPhone 15 Plus yenye GB 128
Nataka nioneni nini kinachofanya wadada wachizike na hizi simu,nataka nione ni nini kinachowapa mvuto wanaume wanaotumia simu hizi hadi kuweza kuwang'oa kirahisi wadada wa kibongo...
Habari wapendwa,
Naomba mwenye connection za migodini kama usafi, office attendant na nyingine kama hizo au mahali pengine popote kama kwenye miradi mbalimbali mimi nitafika. Mimi nina uzoefu na mambo ya hoteli ila nitafurahi kama nitapata kitu cha tofauti maana umri sasa.
Asante sana
Naona hili ni tatizo kubwa sana kwa watangazaji wetu wa vituo vyote vya redio kuanzia redio ya taifa mpaka vituo vidogo vya redio linapokuja jina lenye asili ya kijerumani matamshi yanakuwa ndivyo sivyo kabisa. Ni kama wewe umsikie mtu akitamka jina Juma kama Jima au Joma. Au jina Ali kama Hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.