Naomba kufundishwa namna ya kutengeneza automatic school result ya excel

wakuu naomba msaada namna ya KUTENGENEZA AUTOMATIC templete ya matokeo ya shule ya msingi....yaani niwe naweka tu majina na matokeo, template yenyewe iwe inanitafutia jumla,wastani, daraja na nafasi.....automatic.....msaada wakuuuu
Sikia dada zangu kama hauna muda wa kuiandaa hiz template andaa pesa. Nina-attach hapa website ambazo unaweza kujifunza kuandaa template za excel na vitu vingine. Ukijjikaza ukashinda humu masaa mawili kila siku, ndani ya miezi miwili utamdindia Bosi akuongeze mshahara .
 
wakuu naomba msaada namna ya KUTENGENEZA AUTOMATIC templete ya matokeo ya shule ya msingi....yaani niwe naweka tu majina na matokeo, template yenyewe iwe inanitafutia jumla,wastani, daraja na nafasi.....automatic.....msaada wakuuuu
Kuna huyu jamaa ambaye anadai yuko vizuri usimpe hela kwanza onana nae uone kama anaweza kutimiza mahitaji yako
 
Pitia huu uzi.

Back
Top Bottom