Naomba idadi ya Wachangiaji hapa Jamiiforums isipungue leo kuanzia Saa 1 Kamili za Usiku

Halafu kuanzia Saa 1 Kamili hiyo ya leo tarehe 5 Novemba, 2023 ukija ( Uki Log In ) hapa Jamiiforums usije na Mihasira yako bali kuwa tu Mvumilivu kwani huo ndiyo Maana na Ukomavu wa Utani wa Jadi.
Mpaka kufikia saa moja, sitarajii kumuona shabiki wa Mikia fc, aki log in JF leo.
Na kama akifanya hivyo leo, basi nategemea kuwaona majukwaa mengine ila sio la sport.
 
Halafu kuanzia Saa 1 Kamili hiyo ya leo tarehe 5 Novemba, 2023 ukija ( Uki Log In ) hapa Jamiiforums usije na Mihasira yako bali kuwa tu Mvumilivu kwani huo ndiyo Maana na Ukomavu wa Utani wa Jadi.
Popoma, ni wakati wako sasa huu wa kuja kuvuna ulichopanda. Wakati unaleta huu uzi wako nikitaka kuchangia, ila nikaona nikupuuze tu.
 
Back
Top Bottom