Naomba uzoefu biashara ya daladala Dar es Salaam

herman3

JF-Expert Member
Feb 7, 2015
509
659
Habarini ndugu watanzania wenzangu.

Naombeni kupata uzoefu wenu kwa biashara ya daladala kwa hapa jijini Dar es Salaam, ningependa kufahamu, changamoto zake, fursa zake, namna bora ya uendeshaji wa biashara hii, route ambayo ni nzuri kwa kuanzia na details nyingine ambazo ni muhimu kwa mgeni wa biashara hii kuzijua.

Ahsanteni
 
Kwa sasa ningekushauri Utulie sana sababu,Mwendokasi unazifuta daladala kwenye route kubwa,Mbagala K koo,Mbezi kimara,Mbagala KKoo,Tegata Mwenge,Tegeta kimara.Matokeo yake daladala zilizopo zitakimbilia route Mpya na zitajazana huko.

Ndani ya miaka miwili hii biashara itakuwa ni hasara kwa Dar
 
Back
Top Bottom