Naomba itambulike Derby iliyopo Tanzania ni kati ya Simba na Yanga tu

Watangazaji wengi nasikia wakisema Derby ya Simba na Azam au Yanga na Azam. Acheni ubabaishaji, timu ya Azam ya mwaka wa 2000's ijenge Derby na timu za 1930's? ni dharau na uwelewa mfupi wa watangazaji.
Derby ni mechi yoyote inayokutanisha timu zinazotokea katika sehemu moja

Simba
Yanga
Azam
Kmc

Zinapocheza hizo kwa Sasa zinatengeneza derby ya Dar es salaam .Simba na Yanga zinatengeneza derby ya karibu kabisa inayoitwa kariakoo derby kwakua ni kitongoji kimoja.

Barcelona vs Madrid sio derby Bali imepewa Jina eliclassico kwakua hawatokei mji mmoja

Barcer vs Español

Madrid vs ATM

Mfano London derby inajumuisha zinapokutana

Arsenal
Spurs
Westham
Fulham
Chelsea
Brentford
 
Hamna lolote. Mbona tusisikie wakiikuza Derby ya kmc na Yanga au Kmc na Simba?. Mnaikuza hiyo timu lakini hamna kitu
 
Derby ni mechi yoyote inayokutanisha timu zinazotokea katika sehemu moja

Simba
Yanga
Azam
Kmc

Zinapocheza hizo kwa Sasa zinatengeneza derby ya Dar es salaam .Simba na Yanga zinatengeneza derby ya karibu kabisa inayoitwa kariakoo derby kwakua ni kitongoji kimoja.

Barcelona vs Madrid sio derby Bali imepewa Jina eliclassico kwakua hawatokei mji mmoja

Barcer vs Español

Madrid vs ATM

Mfano London derby inajumuisha zinapokutana

Arsenal
Spurs
Westham
Fulham
Chelsea
Brentford
Yanga na Kagera Rangers nayo utaita Derby? Wacha hizo Dar es Salaam hii Derby ni Simba na Yanga tu kataa kubali.
 
Watangazaji wengi nasikia wakisema Derby ya Simba na Azam au Yanga na Azam. Acheni ubabaishaji, timu ya Azam ya mwaka wa 2000's ijenge Derby na timu za 1930's? ni dharau na uwelewa mfupi wa watangazaji.
Naona kila mtu ana tafsiri yake ya derby.
 
Liverpool vs Manchester united (North-west) derby
The most competitive matches in the Premier League are often 'Derby' matches. A 'derby' is a match between local rivals. i.e. teams that are from the same city or the same part of the country. These local games have a special place in the hearts of fans and players.
 
Back
Top Bottom