Serikali ingilia kati huu upigaji wa billion 7.2 za Walimu

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Aug 2, 2022
1,465
4,675
Ni upumbavu mkubwa wa Hawa viongozi wa CWT wakiendelea kuwaibia walimu, naomba serikali isikae kimya juu ya Ili suala.

Hiki chama hakina tija kwa walimu zaidi ya kuwanyonya na kuwanufaisha watu wachache wasiojielewa.

Tokea 2017 chama kimekua na migogoro Mingi mno kwa sababu kuiba CWT imekua rahisi kuliko kuibia Serikali, kinachonishangaza serikali haichukui hatua yoyote kwa Huu upigaji, Serikali inabidi ikifute hiki chama.

kumekua na chama mbadala Cha walimu eg Chakuhawata Lakini kumekua kinapigwa zengwe na afsa utumishi Maeneo mbalimbali nchini, makatibu CWT wilaya wamekua mstari wa mbele kuwahonga ma Afsa utumishi na kuzuia wanachama wasikihame hii chama Cha kinyonyaji.

Kwa sababu ya hao Ma Afsa utumishi hawahusiki moja kwa moja na hao walimu hawajui uchungu wao, wanakua rahisi kutumika na kupewa hongo, na kutimiza matakwa ya CWT Na sio ya serikali hivi mnadhani hao walimu hawaoni?

Hiyo morale ya ufundishaji wataipata wapi ? Ona hao viongozi wa CWT wanakua jeuri kukataa teuzi za Rais kwa sababu wanaona wakienda serikalini wakiiba watakamatwa wafungwe. Serikali itoe onyo Kali kwa Ma-afsa utumishi wote wanaozuia watu kuhama kutoka CWT, hasa wa mikoa kama Ruvuma, kigoma, rukwa Arusha, Mwanza wajifunze kutafasiri sheria inayomtaka Mwanachama yoeyote kuwa huru kuchagua chama chochote kile.

IMG-20231109-WA0032.jpg
 
View attachment 2808687
Kumbe huyu mwingine alikataa ukuu wa wilaya ili akwapue!Ngoja
 
Hizo hela wamekula hao hao unaosema waingilie,jiongeze we huoni wapo kimya?
 
Back
Top Bottom