Sasa kwa mfano hapa, wameshatoa azana kisha wameamua kuweka audio ya sheikh anazungumzia mambo ya ndoa ya ndani kabisa, kwa nature ya audio inaonekana kilikua cha wanawake tu tena watu wazima ila hapa imewekwa kwa nguvu kabisa1 asubuhi hii.
Mbona misikiti mingine hawafanyi hivi? Mbona waislam...
Mnaofahamu naomba mnijuze tafadhali!
Walipatana hao watu kwenye hicho kibao si mchezo.
Pia ni nani alikuwa analizimua lile goma pale mwishoni walipoanza kuimba kwa kimakonde?
R.I.P Tongolanga, kwangu utabaki kuwa mwanamuziki bora daima.
-kila munu avena kwao
-chilamba cha vene
-sanura
-baba...
Hello heshima kwenu ndugu zangu!
Mimi ni kijana Mtanzania mpenda michezo, na katika kujihusisha sana na michezo, Mungu amenijalia kujipata kwa kuja na aina mbili za michezo.
Mchezo wa kwanza utakuwa ukijulikana kama FENCEBALL au Mpira wa uzio. Na mchezo wa pili utajulikana kama REMAVOLLY...
Habari wakuu;
Naomba kufahamishwa kati ya wilaya Kahama na Mwanza mjini ni wapi pazuri kuwekeza Lodge ya kisasa na biashara ikasonga?
Zingatia haya unaposhauri;
1. Upatikanaji wa kiwanja wenye ukubwa wa angalau ukubwa wa mraba 30mx40m
2. Maeneo yapi mwa mji utapata ukubwa huo na bei yake
3...
Unasumbuliwa na homa kali na kukosa hamu ya kula siku ya 4 hii.
Jana nilipima nikaambiwa ni minyoo, kichocho na U.T.I.
Lakini nimetumia dawa homa na kukosa hamu ya kula vimegoma kabisaaa hata kupungua.
Watalaamu naomba msaada nitumie dawa gani???
Habari waungwani, wafanyabiashara wa viatu,ninampango wa kuanza kufanya biashara ya simple shoes za kike Kwa anayeweza kunipa diteliz za uhakika namkaribisha Wasapu 0673817130 tufanye biashara pamoja
Mimi ni mwanamke, 30 yrs mwenye usonji. Jamii/familia yangu wanaona sina tatizo sababu shuleni nilikuwa nafaulu vizuri.
Ninapitia changamoto nyingi mnoo. Kuna wakati nahisi kukata tamaa. Anayeweza kunisaidia mawazo /counselling ntashukuru.
Habari wakulu.
Bila shaka wengi wetu tunatamani watoto.wetu wasome shule sahihi, salama na hatimaye ahitimu katika ubora.
Ni kawaida kuona kuwa mwanenu amehitimu shule zake na akaamua kuingia kitaani kuhulsle hata kama hatapata best job ila apate kaelimu kamtoe tongo.
Ka uzungu akajue, vijana...
Nilikuwa nataka nikajitambulishe kwa wazazi wa huyu binti sasa katika kumhoji napaswa kupeleka zawadi gani? Nikaona ananiorodheshea zawadi za mama yake tu.
Nikamuulize zawadi za baba je? Akajibu "baba wa nini wewe? Wewe fuata maelekezo ninayokupa"
Nimeshindwa kuelewa maana alisema baba yake...
Wakuu nataka niwe na chukua Mali aidha kariakoo au bara mzigo gani unatoka nao uhakika ukivuka maji na Meli au vi boat?taratibu zake na changamoto zake ni zip?
Laiti Wachezaji wote wa Taifa Stars iliyoyaaga Usiku huu Mashindano ya AFCON huko nchini Ivory Coast wangekuwa na Spirit ya Beki Ibrahim Bska nina uhakika Tanzania tusingetolewa mapema hivi.
Kwangu Mimi huyu Beki Ibrahim Baka ndiyo ambaye Watanzania tunatakiwa tumpokee kwa Heshima zote...
Habar za usiku huu wana nzengo, mimi ni mmiliki wa carwash somewhere
Kwa bahati mbaya au nzuri pale nilipoweka carwash yangu kuna shughuli kadha wa kadha za kijamii,
Kwa kipindi ambacho nimeanzisha hapakuwa na shughuli yeyote ila sasa kutokana na kuendelea kwa lile eneo ndio ikapelekea uwepo...
Naomba Team mnipe hatua zamsingi za kuzingatia ili kujiandikisha kuridia mtihani wa kidato cha nne.
(Mhitaji anataka kituo tu, yeye atajisomea online).
Habari wanajukwaa natumaini mbuheri wa afya.
Leo naomba nigusie japo kwa kiasi kuhusu hizi apps za mikopo ambazo kwa Sasa zimekuwa nyingi sana na promotion kubwa inafanyika huko YouTube.
Nimeileta hii mada hapa kwenye jukwaa hili kwasababu hii mada sio ya kisiasa Bali kuweka wazi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.