MSAADA: Nasumbuliwa na homa kali leo ni siku ya nne

Kizibo

JF-Expert Member
Jul 3, 2018
3,871
8,381
Unasumbuliwa na homa kali na kukosa hamu ya kula siku ya 4 hii.
Jana nilipima nikaambiwa ni minyoo, kichocho na U.T.I.
Lakini nimetumia dawa homa na kukosa hamu ya kula vimegoma kabisaaa hata kupungua.

Watalaamu naomba msaada nitumie dawa gani???
 
Duh.
No wonder dakitari alikupatia Vitamin B.

Unaumwa sana. Nenda hospitali. Wale madaktari unaowasoma na kuwaona humu ni madaktari wa porojo-wengi wao. Si madaktari wa magonjwa ya mwili.

Eniweyi. Nenda hospitali kama una homa.
 
Nenda hosiptal mkuu, cheki full blood picture. Maana homa inaweza kuhusiana na magonjwa mengi. Sio lazima UTI, malaria, typhoid. Achana na ushauri wa JF, zingatia hosiptali
 
Unasumbuliwa na homa kali na kukosa hamu ya kula siku ya 4 hii.
Jana nilipima nikaambiwa ni minyoo, kichocho na U.T.I.
Lakini nimetumia dawa homa na kukosa hamu ya kula vimegoma kabisaaa hata kupungua.

Watalaamu naomba msaada nitumie dawa gani???
Pole!
Fika hospitali, kiasi cha homa, mwenendo wake, urefu wa muda ukiwa na homa, dalili nyingine mwambata pamoja na atakachokipata mtaalamu wa afya wakati wa ukaguzi wa mwili vitasaidia ni vipimo gani ufanye au mwisho tiba iweje baada ya kukamilisha yote.
 
Unasumbuliwa na homa kali na kukosa hamu ya kula siku ya 4 hii.
Jana nilipima nikaambiwa ni minyoo, kichocho na U.T.I.
Lakini nimetumia dawa homa na kukosa hamu ya kula vimegoma kabisaaa hata kupungua.

Watalaamu naomba msaada nitumie dawa gani???
Wiki mbili hadi nne zilizopita ulipiga kavu
 
Back
Top Bottom