Kwa miaka mingi nimetumia Toyota nilianza na Rav4, Passo, Raum, Noah, Spacio, Kisha nikarudia Noah ambayo niko nayo muda mrefu kuliko gari zote hizo tangu 2019.
Natamani sasa kupata Gari nyingine na hasa safari hii natamani gari tofauti na Toyota
Macho yangu yameona HONDA ROADCROSS KImuonekano...
Naamini uzima mnao nyote, kama si hivyo basi pole kwa wewe ambaye hauko sawa kiafya na mungu akujalie upone mapema.
Nina shauku na nina sauti safi kwa kutoa matangazo katika vifaa vya muziki [sauti]
Sasa juzi juzi nikajalibu kutafasri crip moja ya kizungu, hakika niliipatia kiasi japo sio...
Habari ndugu zanguni, naomba kwa wenye experience juu ya biashara ya vifaa vya kielektronikI nisaidieni kujua kuhusu management yake na hata changamoto zake pia .
Mwenendo mbovu wa timu ya Simba, sisi mashabiki ndio tunapata shida huku uraiani.
Wachezaji wa simba zaidi ya 50%, wamechoka wako nje ya form; kwa kifupi wanajivuta kama konokono wawapo uwanjani.
Wachezaji wengi hawana sifa ya kucheza simba ila kwa kuwa ndio waliopo inabidi kwenda nao hivyo...
Nigeria - uchumi mzuri ila kuna ukabila wa hali ya juu sana kila siku biashara na nyumba za wa igbo zinabomolewa na kuchomwa bila notice ama notice ya masaa mawili, kuna makundi yenye itikadi kali za kiisalam za kuua wakristo, n.k.
South Africa - Asilimia 85 ya ardhi bado inamilikiwa na...
Habari,
Nimehitimu mwaka jana nimefaulu masomo yote na pia na division 1 lakini nilikuwa na ndoto za kusomea mambo ya technogy ikiwemo computer science
Mpaka sasa nina utata niende Advance au chuoni. Nimejaribu kuchukua ushauri wa watu mbalimbali kuna ambao wananishauri niende chuo nikasome...
NAOMBA USHAURI KUHUSU TOYOTA LAND CRUISER ZX.
Wakuu naomba ushauri wa kununua used TOYOTA LAND CRUISER ZX or VX series 202. Ipi bora na bei zake used zikoje kulingana na mileage za around 100,000.
Naomba ushauri pia kuhusu mafuta na spare zake. Shukrani.
Habari za wakati huu wapendwa wana JamiiForums,
Nina imani kabisa hapa kwenye jukwaa kuna watu wazima na wenye elimu walio elimika. Nimekuja hapa kwa lengo la kupata ushauri wa vitu vili vinanipa utata. Mimi ni kijana nimesoma elimu ya form six nikafaulu pia kuendelea na na ngazi za bachelor...
Sisi tupo nae hadi asubuhi, anajitahidi kufuta comment mamia kwa mamia kila dakika ila naona bado zinamiminika, jiandaeni kwa shift ya asubuhi, sisi tunae usiku kucha, hadi afunge hilo page lake aweke private. Page ya Mamelodi sundowns fc nayo tunaisulubu hadi asubuhi...
Gumzo linaloendelea hapa South Africa kwenye mitandao ni kwamba Yanga ndio wameshinda mechi lakini Mamelodi ndio walionufaika.
Nikiweka ushabiki wangu pembeni Mimi huwa napenda Sana kujifunza Vitu nisivyovijuwa.
South Africa wapinzani ni Chiefs na Orlando, lakini ukiwafuatilia vizuri unakuta...
Wakuu samahani kuna panya mdogo anakaa kwenye gari yangu, nikiwa nimekaa muda mrefu nimepaki nasikia akitafuna vitu nikijaribu kuangalia ananyamaza.
Nikiamka asubui nakuta vikapande pande vya karatasi vilivyo tafunwa na panya kwenye buti na ata kwenye engine.
Naogopa asije akatafuna nyaya...
Heshima kwenu wadau.
Naomba kujuzwa dawa ya maumivu ya mfupa wa kwenye goti, tatizo lilitokana na ajali ya boda goti likavunjika hata kutembea ikawa shida kwa muda wa miezi 6+ ni kitandani tu.
Ikapatikana nafuu ya kuanza kutembea na mara kwa mara mfupa wa goti huwa unauma hasa kipindi cha...
Wakuu salamu.
Nipo nachukua Bachelor of science with education hapa mlimani, na hii chini ni performance yangu, sasa nualizia for this performance can I be tutorial lecturer???
First semester 4.4 gpa
Second semester 4.4 gpa
Third semester 4.2 gpa
Fourth semester 4.2 gpa
Firth semester 3.8 gpa...
Asante sana Kwako uliyenipa hii Elimu kwani tokea nianze Kufululiza kuhudhuria Ibada zangu Kanisa Katoliki na Kumtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la Kumi ( 10 ) Maajabu yanayonitokea ya Kimafanikio, Baraka na Neema huwezi kamwe kuyapata kwa Mganga wa Kienyeji au wale Waganga Watatu wa Madhabahuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.